Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili
Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa.
Hao ndio hufokewa kila mda.
Hata mabosi malaya wanawazini wadada wasiojiweza.
Kazini kwetu bosi ni kicheche amepita na wadada wengi kamshindwa dada mmoja, dada ana gari tatu za kutembelea. Gari ya thamani ya chini ni around 30ml.
Huyu hata kumtania hawezi. Hawa wadada choka mbaya wanaoishi kwa uchawa kawamanua sana .
Maskini ni mtu mdhaifu sana. Hawezi kumpinga kiongozi wake.
Tafuteni pesa