Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ukitaka kuendelea jifunze kunyenyekea na bidii kwenye kila kitu unachofanya. Usisahau hata huyu Mungu tunaemuabudu anatakiwa anyenyekewe. Usiwe kibur kwa aliyejuu yako wala usidharau nafas yake. Nawe itapandishwa kwa wakati wakoHello!
Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili
Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa.
Hao ndio hufokewa kila mda.
Hata mabosi malaya wanawazini wadada wasiojiweza.
Kazini kwetu bosi ni kicheche amepita na wadada wengi kamshindwa dada mmoja, dada ana gari tatu za kutembelea. Gari ya thamani ya chini ni around 30ml.
Huyu hata kumtania hawezi. Hawa wadada choka mbaya wanaoishi kwa uchawa kawamanua sana .
Maskini ni mtu mdhaifu sana. Hawezi kumpinga kiongozi wake.
Tafuteni pesa
Upo sahihi mm nikishuhudia tajiri kabisa anamdgulum jamaa kiwanja cha mita 20x20mUchawa na kujipendekeza ni tabia ya mtu
Sio kweli.... na sio kweli kwamba ukiwa tajiri una akili nyingi au mstaarabu na sio kweli ukiwa maskini huna akiliPia ukiwa masikini ni lazima uwe na matatizo ya akili
Sijakuelewa chief.hebu weka sawaUpo sahihi mm nikishuhudia tajiri kabisa anamdgulum jamaa kiwanja cha mita 20x20m
Sasa hiyo ni mini?
Mno