Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi.

Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani?

Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
 
dunia ni watu na watu ndo sisi
 
Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi.

Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani?

Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
Unaobadilika kulingana na maneno ya watu[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Hebu weka picha tuone uko aje?
IMG_20210610_182934.jpg
 
Changanya vyote hadi wachanganyikiwe ...kuna muda unaishi kama jini mpaka mtaa unakushangaa huo muda.Muda ukipita unaishii kama Popo Bawa.
Wewe fuata watu utakufa uwaache na ukifa bado utasemwa tu umekufa kiboya boya.
 
Dunia inataka uishi kulingana na utashi wa nafsi yako pasi na kuwaudhi wengine.....na sio kuishi kulingana na maoni na mitazamo ya wengine ambao wao wanaishi maisha yao.....
 
Back
Top Bottom