Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi.

Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani?

Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.

Wanamtaka Sponsor Wako
 
Kwani wengine wanasemaje

IMG_20210610_193103.jpg
IMG_20210610_193121.jpg
 
Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi.

Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani?

Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
Hakuna SI unit kwenye kula wala wembamba..!!! Is how you feel..!!!
 
vibonge wengi ni walafii, kibonge hapendi ambiwa anakula sanaa,
Tunataka ufe tuchukue vilivyo vyako.
ishi kulingana na maisha yako usisikilize maneno yetu
 
Kuambiwa unakula sana ni kero
 
Back
Top Bottom