MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mimi wewe ninegukufukuza kabisaa.Ningekupiga wewe ban kwanza alafu ndo nitaendelea na mengine
UchocheziMimi wewe ninegukufukuza kabisaa.
BAN ya maisha.
....ni ngepiga BAN shogaz wote,
Nikiwa moderator nitarudisha ule utaratibu wa kuweza kuwaona members wote ambao wako online wanao view thread hiyo kwa wakati huo kwenye bar ya chini pale kama awali.
Mods wetu wamekua selfish hata likes zako kwenye pages huzioni ukiwa unatumia PC.
Unapenda kuchungulia eeNikiwa moderator nitarudisha ule utaratibu wa kuweza kuwaona members wote ambao wako online wanao view thread hiyo kwa wakati huo kwenye bar ya chini pale kama awali.
Mods wetu wamekua selfish hata likes zako kwenye pages huzioni ukiwa unatumia PC.