Ukiwa moderator utafanya nini?

Ukiwa moderator utafanya nini?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Hivi leo unapewa wasaha wa kuwa moderator utafanya nini?
Utabadili jina jukwaa lipi?
Utaongeza jukwaa lipi?
Nani lazima achezee BAN za kufa mtu?

Binafsi jukwaa la Siasa na Mapenzi na Urafiki ningeyapa majina stahiki. Sitaki kuyasema hapa kabisaaaa hayo majina.

Mwenzangu utafanya nini?
 
..Ningeanza na wenye usernames na Avatar ambazo hazieleweki..alafu nakula sahani moja na Much-knowers alafu ningegahiri niwarudishe tena alaf naacha kuImagine
 
Nikiwa moderator nitarudisha ule utaratibu wa kuweza kuwaona members wote ambao wako online wanao view thread hiyo kwa wakati huo kwenye bar ya chini pale kama awali.
Mods wetu wamekua selfish hata likes zako kwenye pages huzioni ukiwa unatumia PC.
 
Enhee brother unajua wewe ni genious sana.
Ule ulikuwa utaratibu mzuri sana.
 
Nikiwa moderator nitarudisha ule utaratibu wa kuweza kuwaona members wote ambao wako online wanao view thread hiyo kwa wakati huo kwenye bar ya chini pale kama awali.
Mods wetu wamekua selfish hata likes zako kwenye pages huzioni ukiwa unatumia PC.
Unapenda kuchungulia ee
 
Pia ningerudisha ule utaratibu wa mods kufungua threads za kutangaza members waliopigwa ban tena kwa kufanya citation kwenye Jf rules, sio kumpiga mtu pingu kisa amekuwasha kwenye post yake.
 
Back
Top Bottom