Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Borris Yeltsin, The president of.....Home
Mkuu ukisha kuwa public figure lazima ufanye vitu kwa step. Tabia mbovu kama hizo zitaisaidia nini jamiii?
Wanafanya japo kwa step na tahadhali kubwa. Hao top layer hawanywei bar za uchoxlchoroni muwaone. Pia hawanywi biazetu zile zinazotoa povu jingi na kufatwa na nzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtendaji wa kata.
na ule mwili alikuwa anazimudu nyagi kweli?Kamuulize Ben, alivyokuwa anakata konyagi pale ........., tulikuwa tunaambulia kaulinzi sisi akina sie na viofa vya kishkaji.
Mimi huwa natoka out tu bila shida
Wasalaam!
Nimewaza kitu.
Ukiwa kiongozi mkubwa serikalini (top layer) na wewe ni mtumiaji wa vilevi ama mla bata sana, unafanyaje kuenjoy ?
Unaletewa home au unatoka out kwa usiri mkubwa sana ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize JK mzee wa kusakata rumbaWasalaam!
Nimewaza kitu.
Ukiwa kiongozi mkubwa serikalini (top layer) na wewe ni mtumiaji wa vilevi ama mla bata sana, unafanyaje kuenjoy ?
Unaletewa home au unatoka out kwa usiri mkubwa sana ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi Askofu Gwajima nae ni top layer