Ukiwa mtu mkubwa na ni mtumiaji wa vilevi , unatoka out au mambo yote home ?

Ukiwa mtu mkubwa na ni mtumiaji wa vilevi , unatoka out au mambo yote home ?

Mkuu ukisha kuwa public figure lazima ufanye vitu kwa step. Tabia mbovu kama hizo zitaisaidia nini jamiii?

Wanafanya japo kwa step na tahadhali kubwa. Hao top layer hawanywei bar za uchoxlchoroni muwaone. Pia hawanywi biazetu zile zinazotoa povu jingi na kufatwa na nzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi top layer wanaanzia position gani?
Mkuu ukisha kuwa public figure lazima ufanye vitu kwa step. Tabia mbovu kama hizo zitaisaidia nini jamiii?

Wanafanya japo kwa step na tahadhali kubwa. Hao top layer hawanywei bar za uchoxlchoroni muwaone. Pia hawanywi biazetu zile zinazotoa povu jingi na kufatwa na nzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize Ben, alivyokuwa anakata konyagi pale ........., tulikuwa tunaambulia kaulinzi sisi akina sie na viofa vya kishkaji.
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Kiongozi tunatoka sema hatwendi bar mara nyingi tunanywea kweye bar za hotel kubwa mfano serena hotel nk so tunachaguaga hotel moja ndio inakuwa eneo letu maalum, na siku tikiamua hata maisha club tunakuja ila kwa utaratibu maalumu vijana wanatangulia wanaandaa mazingira kisha tunakuja tunafurahi tunacheza ila huwezi kujua sababu mnakuwa busy na mziki ila tunatoka sana out

Sema sasa mikato tunayotupia huwezi kujua uyu furani na mara nyingi tukija out tunakuja na michepuko yetu
 
Kuna sehemu zetu huwa tunakwenda kulingana na status zetu... Huko bia moja si chini ya buku 3
Wasalaam!

Nimewaza kitu.

Ukiwa kiongozi mkubwa serikalini (top layer) na wewe ni mtumiaji wa vilevi ama mla bata sana, unafanyaje kuenjoy ?

Unaletewa home au unatoka out kwa usiri mkubwa sana ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom