Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
 
Wapi huko!
 
Naamini Kuna mtu umemuandikia na sidhani kama huu ujumbe ataupata!

Kama sivyo umetuandikia sisi wana jamii ungeenda ndani kidogo,nini kilitokea, ikawaje kisha ndio hitimisho ambalo ingekuwa ndio hicho ulicho eleza hapo.
 
Ila bora hata huyo wa 50+
Ukiwa kijana then hujitambui ni hasara mara 100
Kijana anayo nafasi ya kubadilika mtu mzima siku zote anatakiwa kumsaidia kijana ili ajitambue
 
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
Nyinyi watu bwana.. [emoji23]
Unadhani kujitambua ni kuona Mapungufu ya Wenzio? Ulipaswa umpe shule mzee kisha Sisi uje kutushauri sio kutufokea.
 
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
Vitu ambavyo sio muhimu ni vipi?
 
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu

Kujitambua ni mchakato ! Na kumwelewa mtu ni mchakato huenda wewe ulitaka awe vile wewe unataka ndo tatizo lilipo ila mwenzako anajitambua vzr tu
 
Omba tu Mungu akupe mwisho mwema mkuu,Wengi ujanani walikuwa vyema Kila idara ila kua uyaone maghorofa.
 
Back
Top Bottom