Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

Kama Mimi ni Kenge Maji kama ulivyoniita hapa basi hata na Mama yako nae ni KENGE MAJI vile vile tena wa Kutukuka kabisa.
Wewe ni TAHIRA,ZEZETA,KICHWA MAJI,ZWAZWA,ZUMBUKUKU,LIMBUKENI,MBUMBUMBU,KONYORA,PUNGUANI & KENGE MAJI.

Watu wenye akili kama sisi tunaweka bando tunaandika maandiko ambayo mtu akisoma anajifunza ila wewe unaweka bando kuja kutukana,walahi nakusaka kwa hamu na lazima nitakudaka tu,wewe si mjanja?,hakuna tatizo muda ndiyo utaongea,kama nimewahi kushika bunduki na kufanya matukio ya hatari wewe ni nani?

Nitakunyoosha msaghane wewe!.

GENTAMYCINE
 
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
Jribu kuwa muwazi bado hujatatua tatizo ulilo nalo ungemtaja huyo uliemlenga. Huku hutapata msaada hakika.
 
56+ bado unakua mmbea, kuchonganisha watu tena vijana ambao ungewaweka pamoja pengine wangekusadia kikongwe wewe. Sasa nakuja rasmi, jipange.(jiwe gizani)
 
Back
Top Bottom