Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.
4. Mamesenja - Unawakuta wamekaa tu ila wanajua kila kitu cha ofisi.
5. Walinzi - Hawa aisee nao wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo la kuhutaji ukweli huwa wanasema. Bila kupindisha.