Ukiwa muajiriwa sehemu ogopa sana watu aina 5

Ukiwa muajiriwa sehemu ogopa sana watu aina 5

Kuna wengine pia sio kima Cha chini ila hatari sana. Kuna Moja alikuja interview nikamfanyia, nikampigia na debe Kwa boss kubwa akapita. Yaani hata mwezi alikuwa hajamaliza akataka kupanda watu vichwani. Akajifanya kujenga ukaribu na baadhi ya watu ajiwemo afisa rasilimali akidhani hakuna Cha kufanya. Nikamuionya mara kadhaa hakusikia; Kuna siku akajichanganya nikampigia na kitu kizito na ndio ilikuwa siku yake ya mwisho kufanya kazi. 🤣🤣🤣
Mkuu tusimulie ilikuaje hivyo?
 
1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.

2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.

3. Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.

4. Mamesenja - Unawakuta wamekaa tu ila wanajua kila kitu cha ofisi.

5. Walinzi - Hawa aisee nao wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo la kuhutaji ukweli huwa wanasema. Bila kupindisha.
One principle of them all, isiogope kwakongwe ila waheshimu.
Usiwekenukaribu nao sana wakujue, do your work nenda nyumbani.

Ukijenga tu urafiki umekisha, they are not your friend
 
Kuna wengine pia sio kima Cha chini ila hatari sana. Kuna Moja alikuja interview nikamfanyia, nikampigia na debe Kwa boss kubwa akapita. Yaani hata mwezi alikuwa hajamaliza akataka kupanda watu vichwani. Akajifanya kujenga ukaribu na baadhi ya watu ajiwemo afisa rasilimali akidhani hakuna Cha kufanya. Nikamuionya mara kadhaa hakusikia; Kuna siku akajichanganya nikampigia na kitu kizito na ndio ilikuwa siku yake ya mwisho kufanya kazi. 🤣🤣🤣
Wewe ni mutu mubaya Sana papaa.
 
Back
Top Bottom