Ukiwa muajiriwa sehemu ogopa sana watu aina 5

Ukiwa muajiriwa sehemu ogopa sana watu aina 5

Mkuu tusimulie ilikuaje hivyo?
Siwezi kuweka details nitafichua id yangu kama wale wanaolijua tukio wako humu. Ila Kwa kifupi alianza kuni snich na akataka kunifundisha kazi. Ikabidi nimuinehse kuwa usicheze na watu no. 1 ya mleta Uzi. Aliko huko haamini maana alijua akimpa afisa rasilimali utelezi atakuwa salama😂
 
Wewe ni mutu mubaya Sana papaa.
Mbwa akipandishwa juu ya mtu hapaswi kuwabwekea waliompandisha watamshusha tu. Jifunzeni kuheshimu watu wanaowabeba kwenye kazi na mjifunze kuwaheshimisha wanaowaleta. Nilimuonya sana lakini akaona kama utani. Nikifanya hivyo iwe fundisho Kwa wengine. Kuna watu wako ofisini unajua kabisa uwezo wake mdogo lakini Kwa sababu Wana heshima unawabeba Kwa hali na mali Kwa kuwakingia kifua pale wanapo haribu. Ila kama heshima huna alafu kazi hujui tutakuonesha kuwa hujui kama hujui
 
Ila ni kweli kabisa ukiwa na bidii na kazi yako wengi wanakuona mnaa utapewa majina mengi sana.
Yaani hilo ni kawaida sana. Unachotakiwa kufanya ni kuziba masikio. Siku zote simamia kazi yako na usionee mtu wala kumsema mtu siku zote mafuta na maji hujitenga.
 
Labda huko private ndo mna mambo hayo ya kunyenyekeana..government huku watu tunaheshimiana hakuna cha kuogopana.
 
Yaani naongea kwa uzoefu, hawa watu waliwahi kuniokoa sana mahali, uzuri ni nilikuwa nawajali hadi nauli wakiniomba, huwezi amini walifaa kuliko msaada niliokuwa nawapa
Mkuu kwema lakini.
 
Kuna hawa majamaa kila muda ana lalamika kuwa kuajiriwa ni utumwa lakini
Nenda rudi yupo pale pale

Aiseh maisha ya maofini kwa watu kima cha kati ni vichekesho sana
Hahahahahah ni utumwa kama unaweza kutengeneza mshahara wako mara mbili au tatu nje ya ofisi.
 
Back
Top Bottom