Ishi na watu vizuri,tumia akili Yako vizuri,Tenda mema na fuata taratibu!1. Wale wakongwe wa ofisi. Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari. Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi. Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.
4. Mamesenja. Unawakuta wamekaa tu ila wanajua kila kitu cha ofisi.
5. Walinzi. Hawa aisee nao wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo la kuhutaji ukweli huwa wanasema. Bila kupindisha.
Nina historia ya kuseviwa msala na cleaner enzi za ajira ujanani.Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.
Umemaliza mkuu. Labda lingine moja fanya kazi kwa bidii.Ishi na watu vizuri,tumia akili Yako vizuri,Tenda mema na fuata taratibu!
Kujifanya unapenda sana kazi kunakuaje mkuu? Kutimiza majukumu uliyopewa kwa usahihi au?All in all Epuka kujifanya unapenda sanaa kazi
Nimesshangaa sana ukijituma kazini unaonekana unapenda sana KAZI dahhKujifanya unapenda sana kazi kunakuaje mkuu? Kutimiza majukumu uliyopewa kwa usahihi au?
6.mpenda chama cha ccm kindakindaki.Hawa wanaweza kukupa gori la mkono kitengo chochote1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.
4. Mamesenja - Unawakuta wamekaa tu ila wanajua kila kitu cha ofisi.
5. Walinzi - Hawa aisee nao wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo la kuhutaji ukweli huwa wanasema. Bila kupindisha.
Zaidi kaa vizuri na watu wa hali chini;1. Wale wakongwe wa ofisi -Wakikuchukia utachukia kazi. Wakikupenda utafurahia.
2. Sekretari - Huyu ni shushu wa bosi. Kila kitu cha hapo ofisini kinamfikia bosi direct.
3. Wafanya usafi - Hawa wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo limetokea na linahitaji mtu atayesema ukweli. Ni watu reliable.
4. Mamesenja - Unawakuta wamekaa tu ila wanajua kila kitu cha ofisi.
5. Walinzi - Hawa aisee nao wanaweza kukusevu. Kama kuna jambo la kuhutaji ukweli huwa wanasema. Bila kupindisha.
Unachosema ni kweli haswa hawa wafagizi wanaweza ingia sehemu ambayo subordinate mwingine hakanyagiZaidi kaa vizuri na watu wa hali chini;
Walinzi
Mesenjaz
Wafagizi
Zekretariz
Wakikuomba za chai usiwanyime
Kuna wengine pia sio kima Cha chini ila hatari sana. Kuna Moja alikuja interview nikamfanyia, nikampigia na debe Kwa boss kubwa akapita. Yaani hata mwezi alikuwa hajamaliza akataka kupanda watu vichwani. Akajifanya kujenga ukaribu na baadhi ya watu ajiwemo afisa rasilimali akidhani hakuna Cha kufanya. Nikamuionya mara kadhaa hakusikia; Kuna siku akajichanganya nikampigia na kitu kizito na ndio ilikuwa siku yake ya mwisho kufanya kazi. 🤣🤣🤣kwa ujumla hawa watu wote wanaolipwa mshahara kima cha chini ni hatari sana maofisini kuuza mchoro ni dakika moja,njia pekee ni ukiona anaingia anga zako mvunje bega mapema kabla hajakomaa
Kutimiza majukumu Ndio kazi yenyewe hyo..Kujifanya unapenda sana kazi kunakuaje mkuu? Kutimiza majukumu uliyopewa kwa usahihi au?