VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna kijana mmoja ambae ni graduate wa chuo x hapa bongo wa mwaka 2022, mwezi wa saba alifika kwa dada ake akitokea kijiji x (sio dada wa damu yan wa kushare tumbo au baba hapana, ni ile undugu wa kuunga unga) jamaa alidai amepitia kumsalimia dada ake then anaenda kuchukua cheti chuoni na kweli alienda chuoni dom then akarudi tena pale kwa dada ake tokea mwezi wa saba hadi now bado yupo pale kwa sista na sista life ni la kuungaunga.
Sasa kilicho nifanya nilete hii story hapa ni kwamba huyu dada ake jamaa ni kama kamchoka jamaa anatamani arejee kwao ila hafunguki direct kwa kijana, mara nyingi ananiita na kunitaka nimshauri jamaa, mara anategea kazi za home, hachangii chochote pale home, mara kuna mda anamuwekea jamaa msosi mfano night mwana hatokei kula msosi hadi msosi unakua kiporo.
Sasa sista ananiambia nimshauri jamaa akachukue mahindi kwao kwa ajiri ya msosi au awe anatoa hela kwa lugha ya picha nikama sista kamchoka jamaa anatamani arejee kwao na kijana inaonesha hataki kurudi kijijini yani imefikia stage jamaa hata kula anakula kwa kuungaunga, Sasa sista kaniambia nimshauri huyu kijana ila mie sijajua hata naanzia wapi.
Na leo ni mara ya pili tena kaniita kwamba nimuelekeze kijana, ila kwaharaka haraka nikwamba inabidi nimshauri jamaa arudishe mpira kwa kipa yani arejee kijijini ila nikimtizama mwana ni kama hataki.
Ni njia ipi sahihi nitumie kufikisha ujumbe wa sista kwa kijana bila kumfanya jamaa ajisikie vibaya ukizingatia mwenyewe mambo yangu bado magumu sina msaada zaidi ya kumshauri. Karibuni.