Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Sasa hapo mbumbumbu ni nani ikiwa wewe mwenyewe umeshasema hujaelewa na tena ukaja na hitimisho la kuwaita Simba "Mbumbumbu"!!!Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa mkataba wa miaka 5 waliyodhaminiwa? Kwa maana iyo walidanganya thamani halisi ya mkataba wao ambao ukipiga hesabu una thamani ya b.12.5 kwa miaka 5 kama wanapewa 2.5 b. Kila mwaka, Mzee Rage apewe heshima yake bwana maana neno "mbumbumbu" linaakisi mambo mengi sana
Mkuu endeleeni ninyi chini ya GSM, inatosha.Tuliwaambia mkabisha mbumbumbu fc hamtakuja mpate maendelea ya maana chini ya mwizi na tapeli Mo!! Tuendelee kuwepo hapa
Mikia tutakuja kuendelea tukimkataa moNa pia Mo soap, energy, Mo safi hawajaorodheshwa kama sehemu ya wadhamini sasa kwenye jezi ya Simba imechafuka Mo kama uchafu na kwenye vyanzo vya mapato ya Simba sehemu ya wadhamini hawapo hao kina Mo soap........
Kuna vitu haziko sawa hapa
Nyie Mo haondoki Simba na ndio mnamuogopa sana.Hivi unajua hata mapato na matumizi ya Utopolo?Mikia tutakuja kuendelea tukimkataa mo
Anyway kwa kuwa umeuliza ni vyema lakini ungetoa kama hitimisho ningesema ACHA UJINGA. Ila sasa AULIZAYE ATAKA KUJUA.Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa mkataba wa miaka 5 waliyodhaminiwa? Kwa maana iyo walidanganya thamani halisi ya mkataba wao ambao ukipiga hesabu una thamani ya b.12.5 kwa miaka 5 kama wanapewa 2.5 b. Kila mwaka, Mzee Rage apewe heshima yake bwana maana neno "mbumbumbu" linaakisi mambo mengi sana
Tatizo shule na kutokuwa na uelewa.Aliyesema wenye akili wapo wawili hakukosea.Anyway kwa kuwa umeuliza ni vyema lakini ungetoa kama hitimisho ningesema ACHA UJINGA. Ila sasa AULIZAYE ATAKA KUJUA.
Taarifa iliyotewa ni mapato na matumizi nadhani ni mpaka Desemba 31, 2022. Sina uhakika. Toka wameingia mkataba na M Bet ni nusu mwaka, tegemea pia pesa inayotarajiwa kuingia ni ya nusu mwaka. Hauwezi kutoa taarifa ya mapato unayotarajia kuyapata isipokuwa utakuja kuona kwenye projected cash flow labda ya miezi inayofuata.
Kwa hiyo kwa kanuni za kihasibu Simba wapo sahihi kuripoti shs 2.5m kwa kipindi cha miezi 6 kutoka kwa mzamini kwa maana hiyo mpaka mwaka uishe yaani Juni au Julai kutegemeana na mkataba M Bet watakuwa wamelipa 5m yote ya mwaka.
Nimeona toka mchana watu wanakurupuka kuppnda makaaba wa M Bet na Simba bila kujua kanuni zinazosimia utoaji taarifa za kihasibu.
Simba wapo sahihi.
Mkuu nilichogundua hapa ni ama watu wameamua tu kupotosha kwa sababu ya ushabiki au hawana kabisa clue ya Financial reports zina andaliwaje.Yani unakuta mtu anaandika maelezo marefu lakini yote kwa ujumla wake ni kitu kimoja tu anakuwa hakijui.Budget Vs Actuals na Financial Year ya Simba inaanza lini na kuishia lini.Nasoma comments naishia kucheka tu.Tatizo ni kweli hujaelewa. Mkataba ulisainiwa lini.Fiscal year iliyofanyiwa kufunga mahesabu ni July 2022 mpaka December 2022 kwa pesa ya mkataba wa M bet.Hivyo pesa zilizotolewa ni kwa nusu mwaka 2.5 bilioni.Nusu nyingine ni January to June 2023.
Sishangai wewe kutoelewa kwani Manara alishasema huko nyuma wenye akili huko upande mwingine ni baba yake mzazi na mzee Kikwete.
Sishangai.
Napingana na Manara kwa mengi lakini kwenye hili la wenye akili ni wawili tu.He was right on the spot.Na ushahidi ni huu.Mkuu nilichogundua hapa ni ama watu wameamua tu kupotosha kwa sababu ya ushabiki au hawana kabisa clue ya Financial reports zina andaliwaje.Yani unakuta mtu anaandika maelezo marefu lakini yote kwa ujumla wake ni kitu kimoja tu anakuwa hakijui.Budget Vs Actuals na Financial Year ya Simba inaanza lini na kuishia lini.Nasoma comments naishia kucheka tu.
Kauli ipi yenye uzito kati ya mwanasimba kindakindaki rage aliewaita wenzie mbumbumbu na huyo haji manara ambaye ni simba kuwaita wasio timu yake kuwa hawana akili ni ipi inapaswa iaminiwe?Napingana na Manara kwa mengi lakini kwenye hili la wenye akili ni wawili tu.He was right on the spot.Na ushahidi ni huu.
Sikujua Manara ni Simba!!!Anafanya kazi Yanga na kawatukana kila aina ya matusi na bado mkamchukua hivyo inabidi niamini kauli yake kwamba wenye akili ni wawili.Baba yake na Mzee Kikwete.Na kwa sababu na yeye sasa hivi yuko huko ni Utopolo basi yeye yupo kwenye kundi hilo.Kauli ipi yenye uzito kati ya mwanasimba kindakindaki rage aliewaita wenzie mbumbumbu na huyo haji manara ambaye ni simba kuwaita wasio timu yake kuwa hawana akili ni ipi inapaswa iaminiwe?
umeandika mataputapu kiasi kwamba inatakiwa nguvu kubwa kuelewa hiki ulichokiandika...wakati manara anatoa kauli hiyo alikuwa simba au yanga?Sikujua Manara ni Simba!!!Anafanya kazi Yanga na kawatukana kila aina ya matusi na bado mkamchukua hivyo inabidi niamini kauli yake kwamba wenye akili ni wawili.Baba yake na Mzee Kikwete.Na kwa sababu na yeye sasa hivi yuko huko ni Utopolo basi yeye yupo kwenye kundi hilo.
Watu wenye akili zinazofanya kazi wasingempokea Manara.
Kwenye report kuna hayo maelezo unayosema wewe? unataka tukuamini wewe kama nani?Tatizo ni kweli hujaelewa. Mkataba ulisainiwa lini.Fiscal year iliyofanyiwa kufunga mahesabu ni July 2022 mpaka December 2022 kwa pesa ya mkataba wa M bet.Hivyo pesa zilizotolewa ni kwa nusu mwaka 2.5 bilioni.Nusu nyingine ni January to June 2023.
Sishangai wewe kutoelewa kwani Manara alishasema huko nyuma wenye akili huko upande mwingine ni baba yake mzazi na mzee Kikwete.
Sishangai.