Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, Udhamini wa m.bet uliosemwa na simba kuwa ni b.26 kwa miaka 5 inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka?

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa mkataba wa miaka 5 waliyodhaminiwa? Kwa maana iyo walidanganya thamani halisi ya mkataba wao ambao ukipiga hesabu una thamani ya b.12.5 kwa miaka 5 kama wanapewa 2.5 b. Kila mwaka, Mzee Rage apewe heshima yake bwana maana neno "mbumbumbu" linaakisi mambo mengi sana
 
Kuna siku nilisema uhalisia wa hii mikataba utakuja kuonekana sasa wameumbuka wenyewe, Yanga analamba b.4.11 kwa mwaka sport pesa kwa mkataba wa miaka 3 wenye thamani ya b.12.33 na hii timu ya propaganda inalamba b.2.5 kwa mkataba wa miaka 5 wa m.bet wenye thamani ya b.12.5, Njia ya muongo siku zote ni fupi
 
Na pia Mo soap, energy, Mo safi hawajaorodheshwa kama sehemu ya wadhamini sasa kwenye jezi ya Simba imechafuka Mo kama uchafu na kwenye vyanzo vya mapato ya Simba sehemu ya wadhamini hawapo hao kina Mo soap........

Kuna vitu haziko sawa hapa
 
Tatizo ni kweli hujaelewa. Mkataba ulisainiwa lini.Fiscal year iliyofanyiwa kufunga mahesabu ni July 2022 mpaka December 2022 kwa pesa ya mkataba wa M bet.Hivyo pesa zilizotolewa ni kwa nusu mwaka 2.5 bilioni.Nusu nyingine ni January to June 2023.
Sishangai wewe kutoelewa kwani Manara alishasema huko nyuma wenye akili huko upande mwingine ni baba yake mzazi na mzee Kikwete.
Sishangai.
 
Mkuu Hivi vilabu vyetu hata si vya kuumiza Kichwa.

Yani ni wajanja wajanja, WAHUNI , wezi, wapigaji ,wahujumu Uchumi, WAONGO nk.
 
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa mkataba wa miaka 5 waliyodhaminiwa? Kwa maana iyo walidanganya thamani halisi ya mkataba wao ambao ukipiga hesabu una thamani ya b.12.5 kwa miaka 5 kama wanapewa 2.5 b. Kila mwaka, Mzee Rage apewe heshima yake bwana maana neno "mbumbumbu" linaakisi mambo mengi sana
Sasa hapo mbumbumbu ni nani ikiwa wewe mwenyewe umeshasema hujaelewa na tena ukaja na hitimisho la kuwaita Simba "Mbumbumbu"!!!
Badala ya kuishia tu kuwa huelewi hivyo uombe kuelewesha, wewe umeshahukumu tayari. Watu mnakwama wapi?
Unajua maana ya ripoti ya mapato na matumizi? Unajua tarehe ya kusainiwa kwa mkataba na fedha kuanza kuingizwa kwa ajili ya kuanza kutumika? Unajua modalities za kuingiza fedha kwenye timu? Maana kila mkataba una taratibu na makubaliano ya namna kuingiziwa fedha.

Na pengine huenda kukawa na error eidha ya matamshi au kiuandishi kati ya 2.5 na 5.2!! Yote yanawezekana.

Mimi siwatetei, Ila jaribu kuwa na subira kabla ya kulaumu au kuhukumu. Mihemko mibaya sana.
Au ni yale yale ya Haji Manara kuwa huko wenye akili ni wawili tu? NI SWALI TU usije ukahamaki.🚶🚶🚶
 
Na pia Mo soap, energy, Mo safi hawajaorodheshwa kama sehemu ya wadhamini sasa kwenye jezi ya Simba imechafuka Mo kama uchafu na kwenye vyanzo vya mapato ya Simba sehemu ya wadhamini hawapo hao kina Mo soap........

Kuna vitu haziko sawa hapa
Mikia tutakuja kuendelea tukimkataa mo
 
Mikia tutakuja kuendelea tukimkataa mo
Nyie Mo haondoki Simba na ndio mnamuogopa sana.Hivi unajua hata mapato na matumizi ya Utopolo?
Mmewekewa kikaragosi cha GSM hamna cha uhuru wa kuchagua au kusema lolote.Mmekuwa kama misukule darini GSM ndio ana call all shots Mmebaki maskini ya Mungu kutingisha kichwa tu kwa huyo mshihiri.Hivi safu yenu ya uongozi ni kina nani?Wamechaguliwa na nani?Nyani kweli haoni kundule
 
Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa mkataba wa miaka 5 waliyodhaminiwa? Kwa maana iyo walidanganya thamani halisi ya mkataba wao ambao ukipiga hesabu una thamani ya b.12.5 kwa miaka 5 kama wanapewa 2.5 b. Kila mwaka, Mzee Rage apewe heshima yake bwana maana neno "mbumbumbu" linaakisi mambo mengi sana
Anyway kwa kuwa umeuliza ni vyema lakini ungetoa kama hitimisho ningesema ACHA UJINGA. Ila sasa AULIZAYE ATAKA KUJUA.

Taarifa iliyotewa ni mapato na matumizi nadhani ni mpaka Desemba 31, 2022. Sina uhakika. Toka wameingia mkataba na M Bet ni nusu mwaka, tegemea pia pesa inayotarajiwa kuingia ni ya nusu mwaka. Hauwezi kutoa taarifa ya mapato unayotarajia kuyapata isipokuwa utakuja kuona kwenye projected cash flow labda ya miezi inayofuata.

Kwa hiyo kwa kanuni za kihasibu Simba wapo sahihi kuripoti shs 2.5m kwa kipindi cha miezi 6 kutoka kwa mdhamini kwa maana hiyo mpaka mwaka uishe yaani Juni au Julai kutegemeana na mkataba M Bet, watakuwa wamelipa 5m yote ya mwaka.

Nimeona toka mchana watu wanakurupuka kuponda mkataba wa M Bet na Simba bila kujua kanuni zinazosimamia utoaji taarifa za kihasibu.

Simba wapo sahihi.
 
Anyway kwa kuwa umeuliza ni vyema lakini ungetoa kama hitimisho ningesema ACHA UJINGA. Ila sasa AULIZAYE ATAKA KUJUA.

Taarifa iliyotewa ni mapato na matumizi nadhani ni mpaka Desemba 31, 2022. Sina uhakika. Toka wameingia mkataba na M Bet ni nusu mwaka, tegemea pia pesa inayotarajiwa kuingia ni ya nusu mwaka. Hauwezi kutoa taarifa ya mapato unayotarajia kuyapata isipokuwa utakuja kuona kwenye projected cash flow labda ya miezi inayofuata.

Kwa hiyo kwa kanuni za kihasibu Simba wapo sahihi kuripoti shs 2.5m kwa kipindi cha miezi 6 kutoka kwa mzamini kwa maana hiyo mpaka mwaka uishe yaani Juni au Julai kutegemeana na mkataba M Bet watakuwa wamelipa 5m yote ya mwaka.

Nimeona toka mchana watu wanakurupuka kuppnda makaaba wa M Bet na Simba bila kujua kanuni zinazosimia utoaji taarifa za kihasibu.

Simba wapo sahihi.
Tatizo shule na kutokuwa na uelewa.Aliyesema wenye akili wapo wawili hakukosea.
 
Tatizo ni kweli hujaelewa. Mkataba ulisainiwa lini.Fiscal year iliyofanyiwa kufunga mahesabu ni July 2022 mpaka December 2022 kwa pesa ya mkataba wa M bet.Hivyo pesa zilizotolewa ni kwa nusu mwaka 2.5 bilioni.Nusu nyingine ni January to June 2023.
Sishangai wewe kutoelewa kwani Manara alishasema huko nyuma wenye akili huko upande mwingine ni baba yake mzazi na mzee Kikwete.
Sishangai.
Mkuu nilichogundua hapa ni ama watu wameamua tu kupotosha kwa sababu ya ushabiki au hawana kabisa clue ya Financial reports zina andaliwaje.Yani unakuta mtu anaandika maelezo marefu lakini yote kwa ujumla wake ni kitu kimoja tu anakuwa hakijui.Budget Vs Actuals na Financial Year ya Simba inaanza lini na kuishia lini.Nasoma comments naishia kucheka tu.
 
Napingana na Manara kwa mengi lakini kwenye hili la wenye akili ni wawili tu.He was right on the spot.Na ushahidi ni huu.
 
Kauli ipi yenye uzito kati ya mwanasimba kindakindaki rage aliewaita wenzie mbumbumbu na huyo haji manara ambaye ni simba kuwaita wasio timu yake kuwa hawana akili ni ipi inapaswa iaminiwe?
 
Sikujua Manara ni Simba!!!Anafanya kazi Yanga na kawatukana kila aina ya matusi na bado mkamchukua hivyo inabidi niamini kauli yake kwamba wenye akili ni wawili.Baba yake na Mzee Kikwete.Na kwa sababu na yeye sasa hivi yuko huko ni Utopolo basi yeye yupo kwenye kundi hilo.
Watu wenye akili zinazofanya kazi wasingempokea Manara.
 
umeandika mataputapu kiasi kwamba inatakiwa nguvu kubwa kuelewa hiki ulichokiandika...wakati manara anatoa kauli hiyo alikuwa simba au yanga?
 
Tatizo ni kweli hujaelewa. Mkataba ulisainiwa lini.Fiscal year iliyofanyiwa kufunga mahesabu ni July 2022 mpaka December 2022 kwa pesa ya mkataba wa M bet.Hivyo pesa zilizotolewa ni kwa nusu mwaka 2.5 bilioni.Nusu nyingine ni January to June 2023.
Sishangai wewe kutoelewa kwani Manara alishasema huko nyuma wenye akili huko upande mwingine ni baba yake mzazi na mzee Kikwete.
Sishangai.
Kwenye report kuna hayo maelezo unayosema wewe? unataka tukuamini wewe kama nani?
 
Back
Top Bottom