Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Mbona umeandika kwa hasira na hamaki?Kwani nani anashindana na nani?😂😂😂😂
 
Kama ni kweli simba inaenda kujipigia pesa ndefu kwa al ahly kwa kukiuka masharti ya mkataba wa mauziano.
 
Ila jamaa ni wabaguzi aisee, naona wanafyeka weusi wote hapo.
 
Naskia na Tuisila hatocheza dakika 90 kwenye mechi...kama makubaliano ya griezmann yanavyofanya anakaa benchi....mi naona mikataba kama hii inaua wachezaji.
 
Akiuzwa Tanzania. uwe unaelewa.
 
Utopolo bwana ndio maana mnaambiwa hamna akili simba walisema kama atatakiwa kutolewa mkopo kwa Tanzania basi mkataba unasema lazima iwe simba ila ww ukaamua kujitoa ufahamu kwa maksudi ili ujikonge roho
Mbona habari za kambale hujazileta hapa mlivyouziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kama ni kweli simba inaenda kujipigia pesa ndefu kwa al ahly kwa kukiuka masharti ya mkataba wa mauziano.
Mkataba ulikuwa unasema kwa team za Tanzania tu lazima iwe simba.
 
Akiuzwa Tanzania. uwe unaelewa.
Si ndo hapo mkuu kuanzia wachezaji mashabiki mpaka viongozi wa yanga hakuna mwenye akili ukitaka kujua hilo angalia huyu mleta mada na adhabu waliyopewa yanga na tff kwa kuzidisha idadi ya substitution inayotakiwa hapo ndo utajua yanga kuna watu wa aina gani na viongozi wake ni hamnazo.
 
Unaweza kabisa kuwasilisha hoja zako bila maneno ya kashfa na yenye kuudhi.
 
Utopolo kweli ni Utopolo tu... Nendeni mkaangalie vipengele vya mkataba ndo mje hapa msikurupuke
 
Kunywa maji mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…