Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
15,265
Reaction score
29,991
Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya wakubwa wako wapi? Nyie ni wenzetu tu wa hapa hapa
IMG_20220903_111718.jpg
 
Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya wakubwa wako wapi? Nyie ni wenzetu tu wa hapa hapa View attachment 2344159
Mbona umeandika kwa hasira na hamaki?Kwani nani anashindana na nani?😂😂😂😂
 
Kama ni kweli simba inaenda kujipigia pesa ndefu kwa al ahly kwa kukiuka masharti ya mkataba wa mauziano.
 
Naskia na Tuisila hatocheza dakika 90 kwenye mechi...kama makubaliano ya griezmann yanavyofanya anakaa benchi....mi naona mikataba kama hii inaua wachezaji.
 
Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya wakubwa wako wapi? Nyie ni wenzetu tu wa hapa hapa View attachment 2344159
Akiuzwa Tanzania. uwe unaelewa.
 
Utopolo bwana ndio maana mnaambiwa hamna akili simba walisema kama atatakiwa kutolewa mkopo kwa Tanzania basi mkataba unasema lazima iwe simba ila ww ukaamua kujitoa ufahamu kwa maksudi ili ujikonge roho
Mbona habari za kambale hujazileta hapa mlivyouziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kama ni kweli simba inaenda kujipigia pesa ndefu kwa al ahly kwa kukiuka masharti ya mkataba wa mauziano.
Mkataba ulikuwa unasema kwa team za Tanzania tu lazima iwe simba.
 
Akiuzwa Tanzania. uwe unaelewa.
Si ndo hapo mkuu kuanzia wachezaji mashabiki mpaka viongozi wa yanga hakuna mwenye akili ukitaka kujua hilo angalia huyu mleta mada na adhabu waliyopewa yanga na tff kwa kuzidisha idadi ya substitution inayotakiwa hapo ndo utajua yanga kuna watu wa aina gani na viongozi wake ni hamnazo.
 
Unaweza kabisa kuwasilisha hoja zako bila maneno ya kashfa na yenye kuudhi.
 
Utopolo kweli ni Utopolo tu... Nendeni mkaangalie vipengele vya mkataba ndo mje hapa msikurupuke
 
Si ndo hapo mkuu kuanzia wachezaji mashabiki mpaka viongozi wa yanga hakuna mwenye akili ukitaka kujua hilo angalia huyu mleta mada na adhabu waliyopewa yanga na tff kwa kuzidisha idadi ya substitution inayotakiwa hapo ndo utajua yanga kuna watu wa aina gani na viongozi wake ni hamnazo.
Kunywa maji mengi
1662192007967.jpg
 
Back
Top Bottom