Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Mzee mwenzangu nimeuliza tu ,ntunzie heshima yangu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na wote wakiwa wa kike ina maana mama na baba ni malaya?!
Bora mm sio malaya
Kulipa deni utalipa tu hata kwa wakiume
hahaha mie sijui labda waje waupande wa pili watupe ufafanuzi mwanaume malaya anaanzia wanawake wangapi?Hizo stori za vijiweni tu.
Hivi mwanaume malaya ni aliyetembea na wanawake wangapi? Labda mtu anaweza kujitathimini.
kumbe !!nashkuru kwa ufafanuzi mkuuKulipa deni utalipa tu hata kwa wakiume
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
1 +Hizo stori za vijiweni tu.
Hivi mwanaume malaya ni aliyetembea na wanawake wangapi? Labda mtu anaweza kujitathimini.
Kwa wakati mmoja au kwa maisha yake?
Nimekushtukia utakuwa umetumwa na Hamisa mobeto...Ila kama kuna ka ukweli flani hivi!maana mpaka sasa nimeshawapata 7.Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Hahaha unakichaa ww lol[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ntauwa mtu aiseeeYap mara nyingi hutokea hivyo ili na Wewe pia ' wakuchapie ' ili ukome na ubaya zaidi ' Masela ' wakishajua tu kuwa Binti huyu ni wa Nyoka_Mzee ndiyo hukanyagia ' Mbunye ' kwa ukucha huku wakielekeza ' Mikuyenge ' yao Nyuzi zote 360.
umeona eeeh aisee jamaa atakuja pata shida kwa kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1]NAVUTA PICHA YA DIAMOND PLATINUMZ NA TIFFAH