Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Mbona Nina jamaa angu alifunga ndoa akiwa bikra alipata mtoto wa kike
 
Mbona Nina jamaa angu alifunga ndoa akiwa bikra alipata mtoto wa kike

Hahahaaa...ndugu, hapa huwezi kupata mtu ambaye utaweza ku-reason naye kwa factual scientific data kuhusiana na hilo.

Wengi wao hawana kabisa huo uwezo.

Utaishia kupewa ma broad generalities yaliyo base kwenye assumptions na subjective opinion tu na wenzio wakiya confuse na facts.
 
Kwa akili za Kitanzania na kwa akili za 'team Mange kasema' huenda ikawa ni kweli.

Lakini wenye akili zao watahoji hivi....uhusiano wa moja kwa moja wa kibaiolojia ni upi? Uko wapi?

Hapo ndipo utaiona tofauti kati ya akili yenye akili na akili isiyo na akili.

Nuff said.
Unaamini katika karma?
 
Back
Top Bottom