Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ukwel ndani yake hata huku tunawaona
Mbona Nina jamaa angu alifunga ndoa akiwa bikra alipata mtoto wa kike
Unaamini katika karma?Kwa akili za Kitanzania na kwa akili za 'team Mange kasema' huenda ikawa ni kweli.
Lakini wenye akili zao watahoji hivi....uhusiano wa moja kwa moja wa kibaiolojia ni upi? Uko wapi?
Hapo ndipo utaiona tofauti kati ya akili yenye akili na akili isiyo na akili.
Nuff said.
nadhani ni kweli