Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
uongo.
 
Inaweza ikawa kweli maana mimi na marafiki zangu enzi za ujana wetu tukitomba sana watoto wa watu na wote saa hivi first born wetu ni wa kike hapa naomba Mungu nimpate wa kiume ili nimrithishe mikoba tu
hahahaha hatar kuwa mpole mkuu unalipa tu madeni yote uliokopesha watoto wa wenzio
 
Kuna kaukweli kidogo kwenye hili japo haujafanyika utafiti lkn jamaa zangu wote viwembe wanapata wakike lakini nami si mtu mzuri Sana lakini watoto wote wakiume Tena trip nzima!
 
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Niliwahi kusikia Mkuu kitu kama hicho nilifanya kautafiti kadogo ka twaweza,ni kweli. Mara huwa hivyo na hiyo ni kwa ajili ya kukufanya muhusika uupate uchungu wa uzinifu wa dada,mama,watoto wa kike wa watu hivyo unapewa wa kike ili kabla hujafa uupate uchungu huo.
 
Mie naomba definition ya mwanaume malaya.

Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
 
Dah....uwongo mtupu....ninalihakikisha hilo[emoji87] [emoji41]
 
Kuna kaukweli kidogo kwenye hili japo haujafanyika utafiti lkn jamaa zangu wote viwembe wanapata wakike lakini nami si mtu mzuri Sana lakini watoto wote wakiume Tena trip nzima!
umeona eee mimi ndomana nikasema haka kajambo kana ukweli ndani yake
 
Back
Top Bottom