Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Niliwahi kusikia Mkuu kitu kama hicho nilifanya kautafiti kadogo ka twaweza,ni kweli. Mara huwa hivyo na hiyo ni kwa ajili ya kukufanya muhusika uupate uchungu wa uzinifu wa dada,mama,watoto wa kike wa watu hivyo unapewa wa kike ili kabla hujafa uupate uchungu huo.
Kweli kabisa mkuu wala si uwongo maana kuna wakat unaonjeshwa radha ya matendo yako kupitia kizazi chako
 
Kuna wanaume wengi ninaowafahamu walioviwembe pengine zaidi yako wewe watoto wao wa kwanza ni wa kiume
Mkuu kwani mimi nimejitangaza humu ni kiwembe?
ebu Ntunzie kwanza kaheshima kangu...
Nilichonacho si mali ya umma,hakijatolewa waqfu hahahaha
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nimeshakula nyuchi za kutosha lakini juzi nimepata fast born fast born dume.Honestly nilikuwa sipendi kupata mtoto wa kike
 
nimehesabu watu naowajua hadi ndugu zangu kweli nimekuta wale malaya wote firstborn wao wa kike.
Dah.....Bado hatujapata maelezo Malaya ni mtu wa aina gani......Au awe amewagonga wangapi lakini...[emoji87]
 
Kama kuna ukweli vile nilikuwa najitathmini maana mtoto wangu wa kwaza wa kike wapili wakike nisipoacha kuwa vua chupi naweza nisipate wa kiume kwa style hii.
 
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..

Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..

Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Mimi mbona nilikuwa nimetulia lkn chalii yangu WA kwanza ni binti.
???
 
Kama kuna ukweli vile nilikuwa najitathmini maana mtoto wangu wa kwaza wa kike wapili wakike nisipoacha kuwa vua chupi naweza nisipate wa kiume kwa style hii.
hahahahaha umeona eeee ukajikuta unaendelea kulipa tu deni
 
Back
Top Bottom