Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
- #61
Kweli kabisa mkuu wala si uwongo maana kuna wakat unaonjeshwa radha ya matendo yako kupitia kizazi chakoNiliwahi kusikia Mkuu kitu kama hicho nilifanya kautafiti kadogo ka twaweza,ni kweli. Mara huwa hivyo na hiyo ni kwa ajili ya kukufanya muhusika uupate uchungu wa uzinifu wa dada,mama,watoto wa kike wa watu hivyo unapewa wa kike ili kabla hujafa uupate uchungu huo.