Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uongo.Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Sawa mkuu lete wako maana tafiti hupingwa na tafitiSi kweli hata kidogo,uchunguzi wako huo ni batili
hahaaha naona ww umelipa madeni mengi aiseeNi kweli watoto wangu wote ni wa kike kwa mama tofauti tofauti.
Kila mtoto na mama yake....
Ngoja waje wenye kamusi zaoTafsiri ya Malaya ni nini?
hahahaha hatar kuwa mpole mkuu unalipa tu madeni yote uliokopesha watoto wa wenzioInaweza ikawa kweli maana mimi na marafiki zangu enzi za ujana wetu tukitomba sana watoto wa watu na wote saa hivi first born wetu ni wa kike hapa naomba Mungu nimpate wa kiume ili nimrithishe mikoba tu
Hapana mkuu kwani na mie wale wale au?Kwani mkuu unamtoto wa kike
[emoji19] [emoji19] [emoji19]Mmhh!!!
Hahahaha,,,si kweli banaNAVUTA PICHA YA DIAMOND PLATINUMZ NA TIFFAH
Niliwahi kusikia Mkuu kitu kama hicho nilifanya kautafiti kadogo ka twaweza,ni kweli. Mara huwa hivyo na hiyo ni kwa ajili ya kukufanya muhusika uupate uchungu wa uzinifu wa dada,mama,watoto wa kike wa watu hivyo unapewa wa kike ili kabla hujafa uupate uchungu huo.Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Kuna wanaume wengi ninaowafahamu walioviwembe pengine zaidi yako wewe watoto wao wa kwanza ni wa kiumeSawa mkuu lete wako maana tafiti hupingwa na tafiti
Ww ni first born?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kulipa deni utalipa tu hata kwa wakiume
[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
ndio hivyo mkuu...story za gahawa hizo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
umeona eee mimi ndomana nikasema haka kajambo kana ukweli ndani yakeKuna kaukweli kidogo kwenye hili japo haujafanyika utafiti lkn jamaa zangu wote viwembe wanapata wakike lakini nami si mtu mzuri Sana lakini watoto wote wakiume Tena trip nzima!