Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Mbona Nina jamaa angu alifunga ndoa akiwa bikra alipata mtoto wa kike
 
Mbona Nina jamaa angu alifunga ndoa akiwa bikra alipata mtoto wa kike

Hahahaaa...ndugu, hapa huwezi kupata mtu ambaye utaweza ku-reason naye kwa factual scientific data kuhusiana na hilo.

Wengi wao hawana kabisa huo uwezo.

Utaishia kupewa ma broad generalities yaliyo base kwenye assumptions na subjective opinion tu na wenzio wakiya confuse na facts.
 
Unaamini katika karma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…