Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Ili uwe mzuri inatakiwa uwe vipi mkuu?
 
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.

Ungekuwa hauringi bas ungekuwa una mahusiano.
Ila kwasababu unaringa ndio maana uko single.

Miaka inaenda Bro.
Utajichukulia sheria mkonon hadi lini?.
 

HII TEKNIK YA KIZAMANI SANA ILA KUNA MABOYA UTAWAPATA. MABOYA HAYAISHI MJINI KILA SIKU YANAINGIA STAND YA MAGUFULI PALE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…