Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa


Tabia yako ni Mbovu, ukiwa mzuri na single ni dalili ya kwamba tabia zako ni mbaya, especially unajiona kwamba wewe ni mzuri, and the fact is anakurupuka, ndo maana anakutamani, akulale akuache..... Kama ambavyo imekuwa desturi ya maisha yako.
 
Hivi hapa JF wanaume marijali mmeisha?
Kwanini asitokee mmoja amfumue kizazi apate mimba hasu tupumzike na hizi tambo zake..!!

Hakuna mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri single, Kuna wanawake warembo sana wamepanga foleni wanajiuza.

Mwanamke anayekiri na kujiona ni mzuri kwa kauli zake ni reject and useless, wewe endelea na urijali, ila sisi tunaelewa!

Reject hiyo
 
Hivi hapa JF wanaume marijali mmeisha?
Kwanini asitokee mmoja amfumue kizazi apate mimba hasu tupumzike na hizi tambo zake..!!

Kwamba jamaa atongozwe na marijali wa JF😁😁😁😁.

Shem Lamomy henu tag mashababi wachache ambao wanaweza kuwa na uthubutu wa kumtongoza mwanaume wenzao. Tag tu alaf usiseme kitu 😎😎😎😎

Kuna uzi wake mmoja alisema anataman Wanaume wangekuwa wana maziwa makubwa ili wanyonyeshe.

Jamaa uhandsome wake ila bado yuko single.
Ni maajabu yanaendelea kwa kweli.
 
Tangazo limekaa utamu ila ungeweka na Kapicha ili wale ma-Tomaso kama mimi tuamini kama kweli yaliyomo yamo
 
Wewe Unanitafutia vita asubuhi kwahiyo niwatag 😹😹😹

Ngoja narudi na list ya mashababi wa kumfumua kizazi hasu..!!
 
Hakuna mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri single, Kuna wanawake warembo sana wamepanga foleni wanajiuza.

Mwanamke anayekiri na kujiona ni mzuri kwa kauli zake ni reject and useless, wewe endelea na urijali, ila sisi tunaelewa!

Reject hiyo
Sijakuelewa aisee!!
 
Hivi hapa JF wanaume marijali mmeisha?
Kwanini asitokee mmoja amfumue kizazi apate mimba hasu tupumzike na hizi tambo zake..!!
"Anaejiamini hapigi keleleeee.......... "
 
Mshamba weee, mimi wananitongoza almost kila siku, nimeamua tu kuwakataa ni focus na mambo yangu.
 
"Anaejiamini hapigi keleleeee.......... "
β€œUkitaka kupigana njoo, njoo sasa nikuonyeshe show” 😹😹😹

We kima mpaka taarabu za mjini unazijua?
Haszu inatakiwa upigwe mshedede haiwezekani kidume uringe kutuzidi dada zako. Tena unatamba kwa mikogo mjinga wewee 🀣😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…