Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Hongera mwaya kwa kuwa mzuri.

Wawekee kapicha hebu ili wapate kukuamini.
 
Mshamba weee, mimi wananitongoza almost kila siku, nimeamua tu kuwakataa ni focus na mambo yangu.
Unawajibuje sasa wakikutongoza?
Unang’ata vidole au unaangalia chini beautiful boy 😹😹
 
Wazuri hawafi
 
Bila kuweka picha yako sisi tutaaminije haya maelezo
 
Ila wanasemaga wengine huzaliwa na homon nyingi za kike
Matokeo ya hormone nyingi za kike kwa me, maybe anaweza kuwa some secondary characteristics za kike km haga, kifua, ama sauti...

Kujisifia ishu ya kucha both ke na me wapo wenye kucha nzuri wengine kawaida,

Hata ishu ya ngozi ni vilevile

Ila sasa mwanaume kujisifia ni mzuri kuliko mwanamke ni changamoto kidogo,
 
Sio changamoto kidogo ni kubwa sana
Hata kimyakimya ndan ya nafsi yako unaweza sema ww ni mzur?? Wewe wa kiume unaweza?
 
Sio changamoto kidogo ni kubwa sana
Hata kimyakimya ndan ya nafsi yako unaweza sema ww ni mzur?? Wewe wa kiume unaweza?
Changamoto aseeh, mwanaume anasifiwa kazi, pochi Nene, na mamlaka,

Mwenzio anasubiri kuitwa handsome,

Hajui uzuri hauleti chakula wala kulipa bills??
 
Kusema kweli Nina kucha nzuri Sana Sana sema kingine
Kucha na k .hunifikii hata robo
K tu ina kilo tatu.kibupa haswaa kiko juu juu kama chura alovimbiwa
"K tu ina kilo tatu.kibupa haswaa"...
Nafsi,,Akili,,Na Mwili Wangu Mimi,,Vimejikuta Vimezama Katika Dimbwi La Tafakuri Picha Baada Ya Kusoma Hiyo Sentensi Katika Hilo Andiko Lako,,,Na Maamuzi Jumuishi Na Matokeo Ya Hiyo Tafakuri Picha...Si Siri Nimedindisha Kikumaa...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…