Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Simple like that π.Mbaga Jr na secretarybird mnatoka nae out mnamlewesha ili shoo iwe nzur ππππ hana haja ya mtongozo huyu. Mnapiga One night Stand.
Alaf lawama mnaisingizia pombe.
AstakafirilahMbaga Jr na secretarybird mnatoka nae out mnamlewesha ili shoo iwe nzur ππππ hana haja ya mtongozo huyu. Mnapiga One night Stand.
Alaf lawama mnaisingizia pombe.
Bila wewe nadidimia. Pliz do your best.Wee kuwq buzzu na DA mzuri haszu
Wee kuwq buzzu na DA mzuri haszu
Au wanafikri mwanaume wako ana pesa sanaKuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.
Ukiwa mzuri halafu unajiamini, unakua hubabaishi hata watu wakikushobokea, mana unajijua ni mzuri na uko busy na mambo yako.
Kwa sasa nimeamua kuwaringia tu, yani sina habari kabisa.