LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Ni kwel chief.Hizo comp wanaozinunua ni kama wewe unavyoweza kununua mashine ya kiwanda. Ina maana inatumika katika uzalishaji.
Mimi 0 km naitamani sana.
0km mzee inatamanisha. Ni vile pocket zetu tu haziruhusu ndio maana š¤£