LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Ni kwel chief.Hizo comp wanaozinunua ni kama wewe unavyoweza kununua mashine ya kiwanda. Ina maana inatumika katika uzalishaji.
Mimi 0 km naitamani sana.
20m ni ndogo, kuna zaidi ya hapo. Tembea uyaoneAiseee 20m kwa ajili ya PC?
Haipingwi hiyo chiefKuna kautamu ka kuchana karatasi.
Are you serious!Yan $8k ninunue computer???
Pia binafsi bado sijapata sababu ya kununu gari 0km!! What for yan??π
Serikali haitendi haki kwetu Raia wake. Wangeachia haya magari ya kichina, hakuna mtu angenunua gari used kutoka Japan. No reforms no election ingekuwa inajikita kutueleza kuwa reforms zikiwepo na wakashinda watatufanyia nini ili nasi tunufaike kuendesha 0KMMimi naomba uzima Tu Kwa MUNGU najua baada ya Miaka 10 haya magari kutoka china yakishaingia TANZANIA kila MTU atamiliki
Kabisaaaa.. kila kitu lazima uwe na sababu. Hata wewe najua una sababu ndio maana huenda huja acquire bado 0km!!!nasema uongo??Are you serious!
Upo Sahihi kabisaa mkuu..laiti kama serikali ingeondoa ushuru kwenye magari ya UMEME tusingekimbilia tena Japan kuagiza magari.Serikali haitendi haki kwetu Raia wake. Wangeachia haya magari ya kichina, hakuna mtu angenunua gari used kutoka Japan. No reforms no election ingekuwa inajikita kutueleza kuwa reforms zikiwepo na wakashinda watatufanyia nini ili nasi tunufaike kuendesha 0KM
Wanaohangaika na no reforms wanapaswa kuwa wanahangaika na vitu vinavyohusisha umma, si kuhangaika na kura ambazo ni watu wachache tu. Mfano ukiangalia mikutano ya CDM utaona Lissu yupo na kuhangaikia kura maana anataka kugombea urais! Je, akiwa rais, yeye watoto wake wakatumbua makuku ya Ikulu, sisi wajukuu wetu nini watafaidika nacho. Hiyo si agenda yake!Upo Sahihi kabisaa mkuu..laiti kama serikali ingeondoa ushuru kwenye magari ya UMEME tusingekimbilia tena Japan kuagiza magari.
Hii dunia imeshaondoka Huko kwenye anasa juu ya magari sikuhizi magari vyombo vya ulazima kama ilivyo simu za mkononi
Hiyo 20 million bila kodi ya samiahizo gari zije chap na mm ntoe gundu la kumiliki zero km kwenye ukooπΏ
Itakufikisha tu ila uwe mpole kila km 200 uchaji inategenea na battery yake ππππ.Hizo gari za EV Tanzania hazifanyi kazi watu tunanunua magari kwa ajili ya kusafiria pia
Naishi Singida nyumbani Musoma, sasa EV itanifikisha wapi
Singida- Musoma unasafiri kila siku? weka solar + battery utasahau bei ya kiwese na bill za TANESCOHizo gari za EV Tanzania hazifanyi kazi watu tunanunua magari kwa ajili ya kusafiria pia
Naishi Singida nyumbani Musoma, sasa EV itanifikisha wapi
$8000 wananunua saa ya mkononiYan $8k ninunue computer???
Pia binafsi bado sijapata sababu ya kununu gari 0km!! What for yan??π
Kwani serikali imezuia?Serikali haitendi haki kwetu Raia wake. Wangeachia haya magari ya kichina, hakuna mtu angenunua gari used kutoka Japan. No reforms no election ingekuwa inajikita kutueleza kuwa reforms zikiwepo na wakashinda watatufanyia nini ili nasi tunufaike kuendesha 0KM