Ukiwa na account ya Paypal huwezi kuunganisha na bank zetu hapa Tanzania?

Una uhakika ndugu? Kama ni hakika Mimi naenda, Ila hapa tunazungumzia PayPal, watu ninaowafahamu walioweza kuaccess hiyo Kwa Tz wametumia safaricom(from Kenya). Ninaomba nope uhakika tu mana nishateseka Sana.
Hayo unazungumza mambo ya zamani, sasa hivi tunapokea mpunga kamakawaida.
 
Na hiyo account yako ya paypal ulvodajiri umeunga na akaunti gani?
Aaah man kweli? Man mi hata crdb niliona kama wanafeli kunisaidia. Hebu nipe briefing ilikuwaje kwako?
 
Na hiyo account yako ya paypal ulvodajiri umeunga na akaunti gani?
Nilijaribu kuunga na debit card, Kwa sababu hapa nyumbani, their website haisupport bank account option. Nika wasiliana na crdb wakaniambia kuwa ni mpaka niwe na electron version ya Kadi Ila baadaye nikaja kuwa skeptical kidogo kwamba kuna uwezekano kuwa mhudumu hakunielewa, yeye alifikiri kuhusu online transactions via credit card na sio kuhusu PayPal.
 
Ulilink successfully hiyo card? Mfano ukitaka kunnua kitu online kupitia paypal inakubali?
Ndugu hiyo card yangu ilikuwa declined. Mimi lengo kuu ni kuwa na full functioning account, kuweza kupokea na kutuma. Je, wewe uliweza kufanikisha hilo?
 
Mimi natafuta mwongozo ili right away nijue nafanyaje, whether ni opt some other ways or otherwise. Hata bank kubwa kama standard chartered nimewapigia simu Ila mhudumu hata PayPal sijui kama aliielewa ni nini. Tusaidiane please.
 
NDIYO. Wewe haikubali kwa sababu moja au nyingine imekataliwa, solve kwanza hilo. Mimi niliunga sku nyingi mno, tena ikuwa mpaka ujaze form benki, nilifanya hivo nikawa natumia kununua tu. Baadae kuna biashara nikawa nafanya, ikawa changamoto kupokea pesa, paypal wakasema tatizo ni BOT hawajaruhusu kitu kama hicho kwa Tanzania. Lakini baadae nadhani ilikuwa mwaka jana mwanzoni ikawa imekubalika, tena crdb walitangaza sana tu. Benki nyingine karbia zote hazina complications za kujaza forms, kama una master au visa card ya benki nyingine yoyote jaribu kulink uone mkuu, mimi natumia card zangu za benki nyingine bila shida. Challenge yako ya kwanza kabisa kwasasa na kulink akaunti card yako na paypal, tatua hiyo kwanza, hakikisha akaunti yako ya benki ina pesa kiasi, kwa mara ya kwanza huwa wanakata pesa baadae wanairudisha.

Achana na kupiga simu, just go ahead and link the card, alimradi iwe mastercard au visa
Mimi natafuta mwongozo ili right away nijue nafanyaje, whether ni opt some other ways or otherwise. Hata bank kubwa kama standard chartered nimewapigia simu Ila mhudumu hata PayPal sijui kama aliielewa ni nini. Tusaidiane please.
 
Ndugu, kwani maelezo yangu ni magumu sana hayaeleweki au?!!!
Wewe umeweza kupokea. Just be open and help me bro , Niko na tatizo serious sana, many of my stuff's stuck.![emoji120]
 
Kama wewe umeweza Kwa crdb offereddebit card kupokea pesa kwenye PayPal yako nipe habari njema na mimi nifanye hivyo. Kama ninakuwa offensive naomba samahani, Ila natamani kujua Kwa uhakika nisije kupoteza muda na pesa. Asante
Keshakwambia uanze kwanza kutatua tatizo la Link btn your card and PayPal Kisha auende kwenye kutatufa ufumbuzi jinsi ya kupokea hela.
Hembu zipitie Tena message zake hapo juu mkuu.
 
NDIYO. Wewe haikubali kwa sababu moja au nyingine imekataliwa, solve kwanza hilo. Mimi niliunga sku nyingi mno, tena ikuwa mpaka ujaze form benki, nilifanya hivo nikawa natumia kununua tu. Baadae kuna biashara nikawa nafanya, ikawa changamoto kupokea pesa, paypal wakasema tatizo ni BOT hawajaruhusu kitu kama hicho kwa Tanzania. Lakini baadae nadhani ilikuwa mwaka jana mwanzoni ikawa imekubalika, tena crdb walitangaza sana tu. Benki nyingine karbia zote hazina complications za kujaza forms, kama una master au visa card ya benki nyingine yoyote jaribu kulink uone mkuu, mimi natumia card zangu za benki nyingine bila shida. Challenge yako ya kwanza kabisa kwasasa na kulink akaunti card yako na paypal, tatua hiyo kwanza, hakikisha akaunti yako ya benki ina pesa kiasi, kwa mara ya kwanza huwa wanakata pesa baadae wanairudisha.
Asante sana. Sikuona hii message sorry.
 
Back
Top Bottom