Nilikuwa siamini na kudhalau sana Ila siku nilipopotea na kuingia kwenye ramani za watu ndio niliamini sio kila kitu Cha kudhalau ktk hii dunia kuna mengi sana.Mkuu na wewe unaamini uchawi na
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa siamini na kudhalau sana Ila siku nilipopotea na kuingia kwenye ramani za watu ndio niliamini sio kila kitu Cha kudhalau ktk hii dunia kuna mengi sana.Mkuu na wewe unaamini uchawi na
Umetisha sanaMwanamke ni mwanamke tu , akuna cha akili kubwa wala akili ndogo , kuna point wanawake wote hukutana, iwe mpika chips na hata raisi wa nchi na ile point ndio uanamke wenyewe ambao huvutia mwanaume.
We mwenzetu ujinga umekutoka vipi?Asante kwa kunielewa.
Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta
Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.
Wajinga ndio wamejaa Tanzania
We mwenzetu ujinga umekutoka vipi?Asante kwa kunielewa.
Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta
Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.
Wajinga ndio wamejaa Tanzania
Nilikuwa siamini na kudhalau sana Ila siku nilipopotea na kuingia kwenye ramani za watu ndio niliamini sio kila kitu Cha kudhalau ktk hii dunia kuna mengi sana.
Dar salaam ipi unayosemea?America ipi ambayo Haina uchawi ?ww mtoto nimeishi Dar zaidi ya miaka 9,nimeishi Arusha,nimeishi Mbeya nimeishi Mwanza,Nimeishi Pwani,nimeishi Iringa,nimeishi Tanga na karibu nusu ya mikoa ya hii nchi nimemaliza nimefica Newzeland, Madagascar n,k afu unabisha ujinga ww hujatembea ushauri wangu jifungie kwenye hiyo confort zone itakusaidia maana inaonekana hata maandiko huyajui ww.Uchawi haupo ndugu
Ni Ujinga na umaskini ndo vinapelekea watu kuamini uchawi na ushirikina japokuwa uchawi wenyewe haupo. Case in point, ni nadra sana kusikia story za watu kufufuka, kupaa na ungo, kutoweka kichawi, kujifungua jiwe, mauaji ya albino nk jijini Dar ambako kuna watu wengi wenye kipato cha Kati na wameelimika kuliko kule kigoma au sumbawanga let alone Ulaya/Amerika. Hizi story za kipuuuzi hazipo kabisa huko. Huwezi kuta BBC au Al Jazeera wanaripoti ujinga wa mtu kufufuka au kuanguka na ungo, wanajua wasomaji wao wengi Wana akili timamu na implications za kuwapa habari za kipuuuzi. Hizi habari unazikuta Millard ayo, Geita yetu, Kigoma yetu, Mbeya yetu blog.
Dar salaam ipi unayosemea?America ipi ambayo Haina uchawi ?ww mtoto nimeishi Dar zaidi ya miaka 9,nimeishi Arusha,nimeishi Mbeya nimeishi Mwanza,Nimeishi Pwani,nimeishi Iringa,nimeishi Tanga na karibu nusu ya mikoa ya hii nchi nimemaliza nimefica Newzeland, Madagascar n,k afu unabisha ujinga ww hujatembea ushauri wangu jifungie kwenye hiyo confort zone itakusaidia maana inaonekana hata maandiko huyajui ww.
wewe bado mtoto sana nipe majina yako matatu nitumie au Nitumie NIDA yako DM nitakushangaza kijana ndio utakuwa na adabu utajua biblia na msaafu havikusema uongo vilipozungumzia uchawi.Uchawi haupo na haujawai kuwepo ni imani za kufikirika ,
uchawi ungekuwa unafanya kazi dunia isingekua sehemu salama ya kuishi, kwasababu ukimzingua mtu kidogo tu ushamrog(zaidi ya 50% population wangekuwa vichaa)
mabenki yangekuwa yanatangaza hasara tu kilasiku kwasababu ya chumaulete,
wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao(kumbe wamepaa na ungo usiku kwenda kwenye nchi zao ) watu wasingekuwa wanahangaika na kuhangaika na viza za ulaya.
wewe bado mtoto sana nipe majina yako matatu nitumie au Nitumie NIDA yako DM nitakushangaza kijana ndio utakuwa na adabu utajua biblia na msaafu havikusema uongo vilipozungumzia uchawi.