DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nina house boys 3 wahaya, wanatumia akili sana kukata majani na kulisha ng'ombe
NakaziaFORMULA NI HII
“Tafuta kwanza nafasi,Ukipata nafasi onesha uwezo,uwezo utakujengea jina,jina litakuletea kipato na mafanikio Hizi ni hatua muhimu katika maumivu ya mchakato wa lazima,Hakuna namna ingine,Acheni huo uongo wa kudanganyana Hakuna Shortcut” - Ruge Mutahaba