Ukiwa na "d" 3 unaendelea na a-level??

Ukiwa na "d" 3 unaendelea na a-level??

medyzo

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
86
Reaction score
9
Muda siyo mrefu nimeona Tangazo la Shule ya PERFECT VIRSION wakiangaza kuwa Eti ukiwa na 'D' 3 unaendelea na Kidato cha 5 . Hiyo nikutokana na Taarifa za mabadiliko katika Wizara ya Elimu.

SASA SIJUI KAMA KUNAUKWELI WOWOTE KUHUSU HILO..???
 
tanzania.gif
 
unaenda Pre-form 5, utasoma A-level na uta-resit kwa wakati mmoja, namaanisha kwamba endapo utaenda hapo Perfect Vision, utasajiliwa kwa ajili ya kurudia mtihani wa form 4 mwaka huu, na ikifika mwezi wa saba(au muda wowote watakaopanga) utaandikishwa A-level, hapo utaendelea na masomo yako ya advance na huku unasubiri mtihani wa ku-resit. ukishapiga pepa, utaendelea na advance kama kawa na matokeo yako yatakukuta ukiwa huko, sasa matokeo yakitoka na ukafeli, advance huwezi kuendelea nayo. ila matokeo yakitoka na ukafaulu basi utaendelea na advance yako na mtihani wa form 6 utaufanya kama private candidate.
 
Back
Top Bottom