unaenda Pre-form 5, utasoma A-level na uta-resit kwa wakati mmoja, namaanisha kwamba endapo utaenda hapo Perfect Vision, utasajiliwa kwa ajili ya kurudia mtihani wa form 4 mwaka huu, na ikifika mwezi wa saba(au muda wowote watakaopanga) utaandikishwa A-level, hapo utaendelea na masomo yako ya advance na huku unasubiri mtihani wa ku-resit. ukishapiga pepa, utaendelea na advance kama kawa na matokeo yako yatakukuta ukiwa huko, sasa matokeo yakitoka na ukafeli, advance huwezi kuendelea nayo. ila matokeo yakitoka na ukafaulu basi utaendelea na advance yako na mtihani wa form 6 utaufanya kama private candidate.