Ukiwa na haya umekula bingo Kwa Zama hizi

Kweli umekua umebadil na nywele🤣 btw andiko zuri, congrats 🙏
 

Sawasawa Mkuu. Naomba nipitie kesho
 
Kingereza Mkuu ukiwa nacho alafu ukajua kuchangamana na Ulimwengu ninakuhakikishia Dunia hii ni yako
Mzee Taikuni nakuunga mkono kwa 100%. Mimi binafsi kiingereza kimeniletea mambo mengi sana maishani. Hata maisha yangu ya sasa yamechangiwa na kuimudu hiyo lugha vizuri. Sasa hivi niko kwenye mazoezi makali sana ya kifaransa kupitia App ya Duolingo huku nikiwa na mtaji wa marafiki wengi wa kikongo
 
Watu wengi hawajui kuwa uelekeo wa Dunia ni kuwa kama Kijiji. Na Lugha ni moja ya fursa adhimu kuelekeo kwenye hicho Kijiji.
 
Point namba 4 sio kwa wanawake tu. Hata mwanaume ukiwa na haiba nzuri ni mtaji. Kwa mfano wengi wetu tukiwa watoto tulikuwa tunadhani wanaovaa miwani wana akili. Mimi nilivyoanza form one wale wavaa miwani automatically niliwaona wana uwezo mkubwa kiakili. Kwenye interview mkiwa na sifa zinazofanana kitaaluma yule mwenye haiba yenye mvuto ana chances za kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…