Ukiwa na haya umekula bingo Kwa Zama hizi


😀😀
 
Yeah! Nimewahi! Hasa NAIROBI.
Wakenya wengi hawajui kingereza cha moja Kwa moja, wanàongea tumia code mix
Usitudanganye Robati, Kenyans almost wote wanajua kuandika kiingereza fasaha.

Na zaidi ya 80% wanazungumza kiingereza fasaha kuliko taifa lolote Africa yani hakuna nchi Africa inayozungumza kiingereza kama wao.

Mbona hawana hayo mafanikio?
 
Sasa utawalinganisha Kenya na watanzania?
Alafu sio kila mkeñya anajua kingereza
Usiwe mbishi, Mtanzania kwa mkenya ni mjinga tu na hana ujanja wowote.
Wale jamaa hakuna kitu hawatuzidi kuanzia wizi, mpaka hela, Loitoktok iko mpakani tu ila watu wanapiga ung'eng'e ajabu na niwatu ambao hawajafika hata class 8
 
First impression aise hi kitu is very important
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…