The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Asikwambie mtu hakuna kiumbe kinaishi kwa tabu kama mwanaume hapa duniani.
1. Nenda Makazini mateso juu ya mateso.. mshahara mkubwa lakini pressure yake siyo ya kitoto
2. Mwnaume ndo.kiumbe pekee anayefanya kazi za hatari
3. Ona vibarua kwenye ujenzi na viwanda wanavyoteseka.
5.Madereva wa magari ya abiria na mizigo.
6. Ulinzi na usalama kupambana na wahalifu.
7..Bodaboda,.mawinga na machinga.wengi wanaume tabu tupu.
8. Magereza. hospitali na makaburi yamejaa wanaume
Ukiwa na kijana wa kiume mlee vizuri mfundishe kupambana life kwa mwaume ni katili sana ndo maana twafa mapema.
Mwanaume unatakiwa ujipende mwenyewe hii dunia haina huruma na sisi..