Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mkimaliza jioni mnatuma na ya kutolea 😂🙌🙌Siyo kulia lia nenda site/Viwandani kaone vibarua wanvyohenyeka ni ME tupu hukuti KE
Mkimaliza jioni mnatuma na ya kutolea 😂🙌🙌Siyo kulia lia nenda site/Viwandani kaone vibarua wanvyohenyeka ni ME tupu hukuti KE
Noma sana tunakuka kwa jasho kweli kweli afu unakuta mtu nyumbani kanunaMkimaliza jioni mnatuma na ya kutolea 😂🙌🙌
inategemea na kiwango cha maumivu katika mapambano yakoKuna utamu ndani ya shubiri
Kuna Raha ndani ya mateso
Na Kuna burudani kwenye
Maumivu.
Nataka kusema nini ipo Raha ya kupata kile ulichokipambania hivyo tupambane.