The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Asilimia kubwa ya Mapapai yanasababishwa na maleziSijui kwa nini sijawahi vutiwa kuwa na watoto wa kiume , tena kwa sasa ninavyoona mapapai yamejaa ,naona ndoto za kuwa na mtoto wa kiume zinakufa kabisaš¤
Ninaweza vizuri , ila mzuka nao umekata kabisaAsilimia kubwa ya Mapapai yanasababishwa na malezi
Kwamba ukipata mtoto wa kiume bila tatizo lolote la hormone utashindwa kumlea na kumsimamia kiume bwashee
Unaweza mpa hayo yote na mtoto akakushangaza tusimame kma ulivyo sema malezi akishindwa atajua mwenyeweAsilimia kubwa ya Mapapai yanasababishwa na malezi
Kwamba ukipata mtoto wa kiume bila tatizo lolote la hormone utashindwa kumlea na kumsimamia kiume bwashee
Serious maana hali ni mbaya sana vita ya kulinda uwanaume ni kubwa sanaUnaweza mpa hayo yote na mtoto akakushangaza tusimame kma ulivyo sema malezi akishindwa atajua mwenyewe
Green City, staand Up!Hakika usemayo
View attachment 3694694
Hatuna la ziada kuna mambo ukiyafikiria unaweza kufa usingiziniSerious maana hali ni mbaya sana vita ya kulinda uwanaume ni kubwa sana
Nawaelewa wakuu
watu hufurahia kuzaa watoto wa kiume lakini mateso wanayopitia.siyo mchezo hasa ukute shule hana aisee ni jehanamu.Sijui kwa nini sijawahi vutiwa kuwa na watoto wa kiume , tena kwa sasa ninavyoona mapapai yamejaa ,naona ndoto za kuwa na mtoto wa kiume zinakufa kabisaš¤
Nenda wodini ndo utaelewa. wanwake wnapenda check up tu na kurudi nyumbani.Upo sahii ila waliojaa hospitalini wengi ni wanawake ila kule magerezani wengi ni wanaume
Mwanaume mpaka kwenda hospitalini,huo ugonjwa wake utakuwa upo serious sana.
Sawa endelea kulegezaUchumi hauhitaji hasira mkuu
Hakika usemayo
View attachment 3694694
Siyo kulia lia nenda site/Viwandani kaone vibarua wanvyohenyeka ni ME tupu hukuti KEKazeni acheni kulia lia......