Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

"Yule ni boss wangu namuheshimu sana.Istoshe mbaba mtu mzima ana mke wake.Koh!Mtu mzima nimpeleke wapi" Alisikika Nesi.
Mkuu yan kama ulikuwepo alivyoanza kujitetea alitaka anibadilishie kesi Mimi, akaniambia hana mahusiano nae mi nikamshushia ushahidi hapo akaanza kutokwa machozi mwwnyewe

GunFire
 
Mimi Nina mpenzi Polisi huu mwezi sasa huwa anarudi asubuhi akitoka shift ya usiku na anadai RPC ni mkali

Namm nlitaka kumfuatilia ktk kituo chake cha kazi sasa huwa nashindwa kwenda kaunta kwakua nakua nimelewa

Na bado nampenda tuu
Huyo ni tabia yake binafsi, haina uhusiano wowote na unesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini kila anayeleta uzi unaohusiana na kuachana ni lazima aseme kuwa yeye ndiye aliyeacha na aliombwa msamaha ila alikataa, anyway labda huwa ni kweli.
Labda kwasababu upo kwaajili ya kupinga kila kitu ndo maana huwa huon thread za walioachwa

GunFire
 
Mimi nimesoma na kufanya kazi chuo ambacho kipo ndani ya Referral Hospital(MNH) na Nimeona Mengi,kwa ujumla Manesi ni wanawake wachafu sana kwenye swala la uaminifu na huwa wanafika wakati wanatembea na hadi na wagonjwa ,hii ni experience ya miaka 12 niliyokuwa karibu sana na Manesi ,Mwanzoni nilikuwa nataka sana kumuoa nurse ila nilibadili gia. Kwa ujumla watumishi wa sekta ya Afya ni wahuni sana ila manesi wana A kwenye uhuni.
 
Duh...

So we pia ni Daktari!??
 
Kumbe ndo maana wengi ni singo-mama

GunFire
 
Atapanda cheo na kuhamishwa muda si mrefu.
Mimi Nina mpenzi Polisi huu mwezi sasa huwa anarudi asubuhi akitoka shift ya usiku na anadai RPC ni mkali

Namm nlitaka kumfuatilia ktk kituo chake cha kazi sasa huwa nashindwa kwenda kaunta kwakua nakua nimelewa

Na bado nampenda tuu
 
Labda kwasababu upo kwaajili ya kupinga kila kitu ndo maana huwa huon thread za walioachwa

GunFire
Teh, nafikiri hata wewe upo kwa ajili ya kupinga kila kitu ndiyo maana hauoni threads ambazo nimeziunga mkono.
 
Back
Top Bottom