Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Teh, nafikiri hata wewe upo kwa ajili ya kupinga kila kitu ndiyo maana hauoni threads ambazo nimeziunga mkono.
Mm spo hum kwaajili hiyo

GunFire
 
Kinacho waponza manesi wa kike ni tamaa, wengi wao wanapenda maisha mazuri hivyo wanaamini wakiwa na mahusiano na madaktari huwenda watapata ndoa na wao wanufaike na pesa hiyo.
Matokeo yake mchezo unakuwa kuzungukana hasa wakija madaktari wanafunzi, manesi wana 'tiwasavage' haswaa na vijana muda wao ukiisha wanaondoka, sasa jiulize mchezo huo kila mwaka vijana wanatimba, usiombe uwe na demu nesi hospital hizi teule au za rufaa.

Nb japo sio wote, na hata walioamua kutulia wameanzia huko.
 
Sure hawa ndivyo walivyo, nina hadhithi ya mshikaji wangu alikuta mke wake ni nurse (sio demu au mpenzi ni mke) kamtumia msela mwingine picha ya uchi Dah sitakuja kusahau hiyo scenario mazee mpaka Leo sidhani kama nitakuja kuoa maana nitaua mtu mimi.
 
Mkuu hatuoi kwasababu mke awe mali yako peke yako,hawa viumbe hasa wa miaka hii umalaya kwao kawaida hata wazazi wao wa kike wanawalinda lao linakuwa moja, ukiwa na fikra hizo utakuja kuua, tunaoa ili tupate watoto wetu halali tukuze koo zetu, hapa ndio pakuzingatia pekee. Hakikisha mtoto unaemlea kwa kuvuja jasho ni damu yako.
 
Pia iende kwa dhana watu waliyo nayo watu kuwa MTU kufanya kitu ama tuko Fulani sio kuwa ni dini ,rangi, Taifa,fani ama kabila yake ndo walivyo. Mana kila tabia zinapatikana kila watu Wa kila Taifa,dini,rangi, fani ama taaluma Fulani,kabila na urefu wao pia.

Huyo ni tabia yake binafsi, haina uhusiano wowote na unesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni jasiri, sijui ulikuwa unatafuta supporting evidence ya namna gani?au ulitaka video.
Hapo nilikua sitafuti tena ushahidi kwaajili yangu ila nilikua nakamilisha tu ushahidi kwaajili yake mkuu maana mm ushahid mmoja ulinitosha kujiridhisha hakuwa muaminifu

GunFire
 
Mimi Nina mpenzi Polisi huu mwezi sasa huwa anarudi asubuhi akitoka shift ya usiku na anadai RPC ni mkali

Namm nlitaka kumfuatilia ktk kituo chake cha kazi sasa huwa nashindwa kwenda kaunta kwakua nakua nimelewa

Na bado nampenda tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kilivyo, ila sio kweli labda huyo wa kwako!
IMG_20200417_151205.jpeg

Na sijutii hadi sanitizer napewa buree[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Back
Top Bottom