Mkuu yan kama ulikuwepo alivyoanza kujitetea alitaka anibadilishie kesi Mimi, akaniambia hana mahusiano nae mi nikamshushia ushahidi hapo akaanza kutokwa machozi mwwnyewe"Yule ni boss wangu namuheshimu sana.Istoshe mbaba mtu mzima ana mke wake.Koh!Mtu mzima nimpeleke wapi" Alisikika Nesi.
Hata wao kwa wao na madoctor usiku wakiwa shift wanamaliza kwenye vyumba vya OPDManesi walivyo utashangaa hata mgonjwa anaweza kutunukiwa tunda na nesi kimasihara .
Labda kwasababu upo kwaajili ya kupinga kila kitu ndo maana huwa huon thread za walioachwaSijui kwanini kila anayeleta uzi unaohusiana na kuachana ni lazima aseme kuwa yeye ndiye aliyeacha na aliombwa msamaha ila alikataa, anyway labda huwa ni kweli.
mkuu wanaume wengi hawapendi kuchapiwa hata kama wao ni wasalitiUliharibu sana ulivo mchunguza kama unapata papuchi kwa wakati hofu yako niyanini hata aliwe na dunia nzima
😂😂😂😂nchi ngumu hiiShukuru ulitambua mapema hukumuoa maana angekua anakuchoma sindano ya nusu kaputi usiku af anaenda kwa mkuu wake wa kazi kupata kazi
Duh...Mimi nimesoma na kufanya kazi chuo ambacho kipo ndani ya Referral Hospital(MNH) na Nimeona Mengi,kwa ujumla Manesi ni wanawake wachafu sana kwenye swala la uaminifu na huwa wanafika wakati wanatembea na hadi na wagonjwa ,hii ni experience ya miaka 12 niliyokuwa karibu sana na Manesi ,Mwanzoni nilikuwa nataka sana kumuoa nurse ila nilibadili gia. Kwa ujumla watumishi wa sekta ya Afya ni wahuni sana ila manesi wana A kwenye uhuni.
"Yule ni boss wangu namuheshimu sana.Istoshe mbaba mtu mzima ana mke wake.Koh!Mtu mzima nimpeleke wapi" Alisikika Nesi.
Kumbe ndo maana wengi ni singo-mamaMimi nimesoma na kufanya kazi chuo ambacho kipo ndani ya Referral Hospital(MNH) na Nimeona Mengi,kwa ujumla Manesi ni wanawake wachafu sana kwenye swala la uaminifu na huwa wanafika wakati wanatembea na hadi na wagonjwa ,hii ni experience ya miaka 12 niliyokuwa karibu sana na Manesi ,Mwanzoni nilikuwa nataka sana kumuoa nurse ila nilibadili gia. Kwa ujumla watumishi wa sekta ya Afya ni wahuni sana ila manesi wana A kwenye uhuni.
Hapana ni RadiographerDuh...
So we pia ni Daktari!??
Bado anampenda.Bado unamkumbuka tu?
Sio bure umerogwa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shukuru ulitambua mapema hukumuoa maana angekua anakuchoma sindano ya nusu kaputi usiku af anaenda kwa mkuu wake wa kazi kupata kazi
SawaIshu si unesi, ni tabia yake
Mwingine atakuja na uzi wa askari, mwalimu, mara sekretary wahi
Tabia ni kama ngozi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu unaonekana wewe ni mkongwe sana katika haya mambo na unajua vizur saikolojia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nina mpenzi Polisi huu mwezi sasa huwa anarudi asubuhi akitoka shift ya usiku na anadai RPC ni mkali
Namm nlitaka kumfuatilia ktk kituo chake cha kazi sasa huwa nashindwa kwenda kaunta kwakua nakua nimelewa
Na bado nampenda tuu
Teh, nafikiri hata wewe upo kwa ajili ya kupinga kila kitu ndiyo maana hauoni threads ambazo nimeziunga mkono.Labda kwasababu upo kwaajili ya kupinga kila kitu ndo maana huwa huon thread za walioachwa
GunFire