Mkuu huli tukio sio hapa dar kweli?Labda kwasababu upo kwaajili ya kupinga kila kitu ndo maana huwa huon thread za walioachwa
GunFire
Been there, Done that.Hahaha.Been there.Done did!!
Alikupiga tukio gan huyoHata mimi kuna Dada mmoja pale Hospitali ya Wilaya ya Nzega ni nesi, alinishinda. Nilimfuata pale pale kazini na kumwambia kuanzia siku ile yamenishinda!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe umejuaje kama mimi nipo humu kwa ajili hiyoMm spo hum kwaajili hiyo
GunFire
Sure hawa ndivyo walivyo, nina hadhithi ya mshikaji wangu alikuta mke wake ni nurse (sio demu au mpenzi ni mke) kamtumia msela mwingine picha ya uchi Dah sitakuja kusahau hiyo scenario mazee mpaka Leo sidhani kama nitakuja kuoa maana nitaua mtu mimi.Kinacho waponza manesi wa kike ni tamaa, wengi wao wanapenda maisha mazuri hivyo wanaamini wakiwa na mahusiano na madaktari huwenda watapata ndoa na wao wanufaike na pesa hiyo.
Matokeo yake mchezo unakuwa kuzungukana hasa wakija madaktari wanafunzi, manesi wana 'tiwasavage' haswaa na vijana muda wao ukiisha wanaondoka, sasa jiulize mchezo huo kila mwaka vijana wanatimba, usiombe uwe na demu nesi hospital hizi teule au za rufaa.
Nb japo sio wote, na hata walioamua kutulia wameanzia huko.
Mkuu hatuoi kwasababu mke awe mali yako peke yako,hawa viumbe hasa wa miaka hii umalaya kwao kawaida hata wazazi wao wa kike wanawalinda lao linakuwa moja, ukiwa na fikra hizo utakuja kuua, tunaoa ili tupate watoto wetu halali tukuze koo zetu, hapa ndio pakuzingatia pekee. Hakikisha mtoto unaemlea kwa kuvuja jasho ni damu yako.Sure hawa ndivyo walivyo, nina hadhithi ya mshikaji wangu alikuta mke wake ni nurse (sio demu au mpenzi ni mke) kamtumia msela mwingine picha ya uchi Dah sitakuja kusahau hiyo scenario mazee mpaka Leo sidhani kama nitakuja kuoa maana nitaua mtu mimi.
Mkuu ni jasiri, sijui ulikuwa unatafuta supporting evidence ya namna gani?au ulitaka video.Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na badae nilichoka.
GunFire
Hata mimi kuna Dada mmoja pale Hospitali ya Wilaya ya Nzega ni nesi, alinishinda. Nilimfuata pale pale kazini na kumwambia kuanzia siku ile yamenishinda!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nilikua sitafuti tena ushahidi kwaajili yangu ila nilikua nakamilisha tu ushahidi kwaajili yake mkuu maana mm ushahid mmoja ulinitosha kujiridhisha hakuwa muaminifuMkuu ni jasiri, sijui ulikuwa unatafuta supporting evidence ya namna gani?au ulitaka video.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nina mpenzi Polisi huu mwezi sasa huwa anarudi asubuhi akitoka shift ya usiku na anadai RPC ni mkali
Namm nlitaka kumfuatilia ktk kituo chake cha kazi sasa huwa nashindwa kwenda kaunta kwakua nakua nimelewa
Na bado nampenda tuu
Hahaha haha hahaSijui kwanini kila anayeleta uzi unaohusiana na kuachana ni lazima aseme kuwa yeye ndiye aliyeacha na aliombwa msamaha ila alikataa, anyway labda huwa ni kweli.