edwin4
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 287
- 216
Asante kwa kunifungua macho, nilikua sijui kama nzi ni aina ya nyuki.Unampenda japo umemove on sababu ya uhuni wake. Ila bado hujamfuta moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kunifungua macho, nilikua sijui kama nzi ni aina ya nyuki.Unampenda japo umemove on sababu ya uhuni wake. Ila bado hujamfuta moyoni.
Pole bro ndo ivo ,ila sio wote wana tabia hiyo.Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.
Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "
Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.
Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"
Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu
GunFire
Boss upo mpaka huku nimezoea kukuona kule BiasharaUkitaka kumla bata usimchunguze.
Hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Nipo kotekote mimi kama mshambuliaji nafunga magoli kwa mguu wa kulia,kushoto na kichwa.
Mimi ni Muuguzi wa kiume hayo yanayosemwa hapa ni kweli kabisaWauguzi wa kiume mnaojiita madoctar njooni uku mjibu tuhuma zenu za kula papuchi kimasihara wodini.
Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.
Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "
Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.
Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"
Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu
GunFire
Darasani kunakuwa na mtu wa kwanza na mwisho kulingana na uelewa.......Uliharibu sana ulivo mchunguza kama unapata papuchi kwa wakati hofu yako niyanini hata aliwe na dunia nzima
Manesi sio kabisa labda uoe doctaHata wao kwa wao na madoctor usiku wakiwa shift wanamaliza kwenye vyumba vya OPD
Mazingira yao ya kazi Yana vitanda vingi lazima wapigane miti tuManesi,madoctor wa kike.......daaah hawa ukioa labda ubadilishe maeneo ya kazi ila sio hospital,utagongewa sanaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo ww!!!Unayosema nayapinga ni tabia ya mtu kuna dada nimetoa bikra at 35 ni nesi hajawahi kuliwa uwezi amini..! Uhuni tabia ya mtu..
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU tena MWALIMU NDY MWEPESI SANA kuliko NURSE....nawaonea HURUMA SANA WALIOOA WALIMU...kwa kifupi UKIOA MWANAMKE MFANYA KAZI HESABU UNAPIGIWA MCHANA KWEUPE....MWANAMKE mfanyakazi anaweza akatoka kwako anakwenda kazini KUMBE YUPO KWA JAMAA ANAPIKA NA KUPAKUA,,,jioni anarudi zake MUDA ule ule wa kazi...NI WANGAPI WANA UHAKIKA WAKE ZAO WAMESHINDA KAZINI NA SIO KWA MABWANA ZAO? Nina Visa vingi vya wake za watu..NAVE MI...sipendi kuviweka hapa,,,PENGINE ALIYEDANGANYWA yupo HUMU....ukweli MCHUNGU msiwaonee MANESI...MIMI NISHAGEGEDA WALIMU,,MANESI,,NA WAFANYAKAZI WA KAWAIDA,,NA WOTE NI WAKE ZA WATU....Mazingira ya kazi pia huwa yanashawishi,ukitaka usiteseke sana,tafuta mwalimu
Mimi nimesoma na kufanya kazi chuo ambacho kipo ndani ya Referral Hospital(MNH) na Nimeona Mengi,kwa ujumla Manesi ni wanawake wachafu sana kwenye swala la uaminifu na huwa wanafika wakati wanatembea na hadi na wagonjwa ,hii ni experience ya miaka 12 niliyokuwa karibu sana na Manesi ,Mwanzoni nilikuwa nataka sana kumuoa nurse ila nilibadili gia. Kwa ujumla watumishi wa sekta ya Afya ni wahuni sana ila manesi wana A kwenye uhuni.
Afadhali ya nesi kuna polisi na mwanajeshi bora ukaoe barmaid anayeuza matako bar kuna nafuu.Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.
Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "
Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.
Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"
Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu
GunFire
Kuoa mwanamke nurse au wanawake wa majeshi (yote) ni kujiua huku unatembea nina experience na ninachoandikaKwani MKUU kutembea na MGONJWA NDY UCHAFU? vipi SECRETARY anayetembea na BOSS WAKE? vipi mwalimu anayetembea na MZAZI WA MWANAFUNZI WAKE?VIPI BOSS WA KIKE anapotembea na DEREVA WAKE? VIPI MKE ANAPOTEMBEA NA HOUSE BOY? vipi MFANYAKAZI WA BANK anapotembea na mteja?MAPENZI NI POPOTE msiwaseme VIBAYA MANESI,,,wakati WANAWAKE WOTE WANA TABIA MOJA. ,,,MIMI SIONI tofauti ya NURSE WA WANAWAKE WENGINE...NARUDIA TENA KUOA MWANAMKE MFANYAKAZI HESABU MAUMIVU sawa na HAO MANESI MNAOWAANIKA HUMU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa mwanamke nurse au wanawake wa majeshi (yote) ni kujiua huku unatembea nina experience na ninachoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida tu, mbona mi nili m t o m b a muumini wa kwa gwajima alikuwa anaaga anaenda kwenye mkesha, mmewake sio mlokole akawa anamleta had kanisani anamshusha mi nimepaki pembeni nawaona tu jamaa akiondoka dem anakuja kuingia tunaondoka tunaenda kufanya mkesha nyumbani.
Sent using COVID-19