Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.

Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.

Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "

Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.

Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"

Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu

GunFire
Pole bro ndo ivo ,ila sio wote wana tabia hiyo.
 
MKUU HAO MANESI unawaonea tu...kwa kifupi UKIOA MWANAMKE MFANYA KAZI...ni sawa na KUPANDA MUEMBE KARIBU NA SHULE...ukweli MCHUNGU...
Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.

Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.

Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "

Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.

Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"

Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu

GunFire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliharibu sana ulivo mchunguza kama unapata papuchi kwa wakati hofu yako niyanini hata aliwe na dunia nzima
Darasani kunakuwa na mtu wa kwanza na mwisho kulingana na uelewa.......
umemuelewa mleta mada??
 
Kawaida tu, mbona mi nili m t o m b a muumini wa kwa gwajima alikuwa anaaga anaenda kwenye mkesha, mmewake sio mlokole akawa anamleta had kanisani anamshusha mi nimepaki pembeni nawaona tu jamaa akiondoka dem anakuja kuingia tunaondoka tunaenda kufanya mkesha nyumbani.

Sent using COVID-19
 
Mazingira ya kazi pia huwa yanashawishi,ukitaka usiteseke sana,tafuta mwalimu
MKUU tena MWALIMU NDY MWEPESI SANA kuliko NURSE....nawaonea HURUMA SANA WALIOOA WALIMU...kwa kifupi UKIOA MWANAMKE MFANYA KAZI HESABU UNAPIGIWA MCHANA KWEUPE....MWANAMKE mfanyakazi anaweza akatoka kwako anakwenda kazini KUMBE YUPO KWA JAMAA ANAPIKA NA KUPAKUA,,,jioni anarudi zake MUDA ule ule wa kazi...NI WANGAPI WANA UHAKIKA WAKE ZAO WAMESHINDA KAZINI NA SIO KWA MABWANA ZAO? Nina Visa vingi vya wake za watu..NAVE MI...sipendi kuviweka hapa,,,PENGINE ALIYEDANGANYWA yupo HUMU....ukweli MCHUNGU msiwaonee MANESI...MIMI NISHAGEGEDA WALIMU,,MANESI,,NA WAFANYAKAZI WA KAWAIDA,,NA WOTE NI WAKE ZA WATU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani MKUU kutembea na MGONJWA NDY UCHAFU? vipi SECRETARY anayetembea na BOSS WAKE? vipi mwalimu anayetembea na MZAZI WA MWANAFUNZI WAKE?VIPI BOSS WA KIKE anapotembea na DEREVA WAKE? VIPI MKE ANAPOTEMBEA NA HOUSE BOY? vipi MFANYAKAZI WA BANK anapotembea na mteja?MAPENZI NI POPOTE msiwaseme VIBAYA MANESI,,,wakati WANAWAKE WOTE WANA TABIA MOJA. ,,,MIMI SIONI tofauti ya NURSE WA WANAWAKE WENGINE...NARUDIA TENA KUOA MWANAMKE MFANYAKAZI HESABU MAUMIVU sawa na HAO MANESI MNAOWAANIKA HUMU...
Mimi nimesoma na kufanya kazi chuo ambacho kipo ndani ya Referral Hospital(MNH) na Nimeona Mengi,kwa ujumla Manesi ni wanawake wachafu sana kwenye swala la uaminifu na huwa wanafika wakati wanatembea na hadi na wagonjwa ,hii ni experience ya miaka 12 niliyokuwa karibu sana na Manesi ,Mwanzoni nilikuwa nataka sana kumuoa nurse ila nilibadili gia. Kwa ujumla watumishi wa sekta ya Afya ni wahuni sana ila manesi wana A kwenye uhuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.

Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.

Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "

Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.

Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"

Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu

GunFire
Afadhali ya nesi kuna polisi na mwanajeshi bora ukaoe barmaid anayeuza matako bar kuna nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani MKUU kutembea na MGONJWA NDY UCHAFU? vipi SECRETARY anayetembea na BOSS WAKE? vipi mwalimu anayetembea na MZAZI WA MWANAFUNZI WAKE?VIPI BOSS WA KIKE anapotembea na DEREVA WAKE? VIPI MKE ANAPOTEMBEA NA HOUSE BOY? vipi MFANYAKAZI WA BANK anapotembea na mteja?MAPENZI NI POPOTE msiwaseme VIBAYA MANESI,,,wakati WANAWAKE WOTE WANA TABIA MOJA. ,,,MIMI SIONI tofauti ya NURSE WA WANAWAKE WENGINE...NARUDIA TENA KUOA MWANAMKE MFANYAKAZI HESABU MAUMIVU sawa na HAO MANESI MNAOWAANIKA HUMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa mwanamke nurse au wanawake wa majeshi (yote) ni kujiua huku unatembea nina experience na ninachoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna tofauti gani na kuoa MWANAMKE MFANYAKAZI WA KAWAIDA?Mimi nazungumzia nafasi ile ile anayopata NURSE ,,,NDY HIYO HIYO ANAYOPATA MFANYAKAZI WA KAWAIDA... Mimi nimetembea na WAKE ZA WATU KIBAO,,tena WANATOKEA KAZINI,,,Wanakuja KWNGU..ASUBUHI MUMEWE ANAMSHUSHA KAZINI..baadae anatoka ANAKUJA KWNGU....jioni MUMEWE ANAMPITIA KAZINI WANARUDI WOTE HOME,,,MSIJIDANGANYE KUPIGIWA KUKO PALE PALE..MSIJIFARIJI NA MANESI..UKWELI MCHUNGU
Kuoa mwanamke nurse au wanawake wa majeshi (yote) ni kujiua huku unatembea nina experience na ninachoandika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma.Ipo siku utatendewa hivyo hivyo.

Back
Top Bottom