Ukiwa na miaka 35 na ukaamua kuanza moja kabisa, unatakiwa ujipe muda gani kutoboa au approximation ya kutoboa ipoje?

Asante sana.
 
umemaliza broo
 
📌 this post from Unju au screenshot kabisa, utanikumbuka, 🫡 Unju Ibn Unuq
 
Hiyo miaka 35, jishushe miaka 10 alafu fanya kazi zozote halali ambazo zinaendana au kukaribiana na zile unazozipenda..
Angalia manzi mwenye kujiweza kidogo au angalau kwao ugali uwe haukai , mtandike mimba huku unaendelea kupambana
Aaaaaaaaaah iko Sawa Sana... Usikosea Ata wakukumbuka kweli
 
Hii Hapa inaitwa Siri ya kambi halali
 
Kuna mtu alijaribu vyote ulivyotaja na vyote vikafeli vibaya kaja kufanikiwa kwenye maua ndio yamemkubari kuku bata sungura sijui bustani vyoooote vimemkataa bustani ya maua ndio imekubari na yenyewe sio kivile kafungua genge asubuhi mpaka saa 4 usiku anapata mteja mmoja tu
 
Haujachelewa kutafuta maendeleo.ni process endelevu nionavyo.labda familia ndo unachelewa hasa mtoto

Ila masuala ya maendeleo na kutafuta pesa,magari nk mi naamini kikubwa uzima tu na afya njema
Una undugu na Mama Maria Nyerere? Umeandika kwa busara sana.
 
Huyo jamaa ni mghairishaji, Mghairishaji hajawahi faulu hata siku moja.

Mghairishaji kosa likitokea anafunga kurasa anaangalia kitu kipya akifeli tena hivyohivyo anaangalia kitu kipya.

Mafanikio yanahitaji ung'ang'anizi ukifeli unaangalia ulikosea wapi, unaanza upya kwa akili nyingine.

Huyo jamaa yako kila alichokua anajaribu akiona changamoto anaacha anaangalia kingine, laiti angekazania hizo kuku na bata, akifeli anaangalia alifeli wapi ili aboreshe zaidi sasahivi angekua namba nyingine kabisa.

Watu wenye akili za kitajiri hawakimbii changamoto, Wanatatua changamoto, Wanakomalia kitu hadi kifanyike.

unafeli, unafeli mara kufeli, Ila akili yako inaendelea kuangalia namna nzuri zaidi ya kufanikisha sio kuacha unakimbilia kingine nacho kikifeli unaacha halafu unasema hakilipi.

Yaani unakua unakua unafanya vitu sababu ya pesa na sio kutatua changamoto za watu na kusaidia watu - Poor mentality.

Blah! Blah! Blah!

Tukija upande mwingine hiyo ni HASTY GENERALIZATION.

Hii hutokea pale ambapo mtu anahukumu watu wote kwa kutumia mifano dhaifu ambayo imefanyika na watu wachache tu.

Tukiangalia numbers, wengi wanaojibana wanafanikiwa ukilinganisha na wanaotumia pesa hovyo, ukiona mtu anajibana na hafanikiwi bhasi hafuati ushauri wa kitaamu kwenye uwekezaji alioufanya.



Mkuu Brojust keep going.

Ongezea kitu hapo mkuu Monetary doctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…